Zanzibar 2020 Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Duniani kote visiwa ni maeneo yenye maendeleo ya hali ya juu isipokuwa kisiwa cha Pemba na Unguja.
 
Let's talk reality.... CCM katika mchakato Urais bara mambo yako wazi hasa awamu ya pili ya mgombea aliyeshinda awamu tangulizi. Mgombea huyo atapita bila kupingwa ila atachukua fomu kuomba udhamini (kuaminiwa) kwa uanachama (hii ni kanuni)
Hiyo sio reality mkuu, ukweli hasa ni kwamba kuna kundi kubwa halimtaki Magu ndani ya CCM na Jana kweli mchakato ukaachiwa uendelee nakuapia Magu hawezi kuwa mgombea wa Urais. Na kama uyasemayo yana ukweli kwanini wasiruhusu? Mbona Trump kashindana na wenzake ndio akapewa ridhaa, Magu aogopa nn?
 
Kulinganisha {Rome,Great Britain,Ottoman} na utawala wa Zanzibar ni kichekesho cha mwaka!
Kweli kwa sasa lakini amini usiamini Zanzibar ilikuwa Empire kabla British Empire..

Empire ya mwanzo ilikuwa Roman Empire ikaja Otuman Empire,halafu Zanzibar Empire ya mwisho ni British Empire..

Kila Empire inatawala na Karne yake,wakati Zanzibar inatawala sehemu kubwa ya Afrika Mashariki na Kati pamoja na baadhi ya mashariki ya Kati..Waingereza bado walikuwa wamateswa na Vikings kutoka Scandinavia🤗
 
Wewe hiyo Zanzibar empire mbona umeikomalia mno! Uliisoma wapi? Na aliyekwambia ilikuwa powerful ni nani? Mimi naifahamu ya Omani.Na haijawahi kuwa na nguvu yoyote ile
 
Wewe hiyo Zanzibar empire mbona umeikomalia mno! Uliisoma wapi? Na aliyekwambia ilikuwa powerful ni nani? Mimi naifahamu ya Omani.Na haijawahi kuwa na nguvu yoyote ileView attachment 1488035View attachment 1488036
Mkuu, Oman na Zanzibar ni nchi mbili tafauti..

Zanzibar iko Afrika,Oman iko Mashariki ya Kati

Waomanii na Wazanzibari walikuwa wanatawaliwa na falme mbili tafauti..

Hapa tunaongelea Zanzibar sio Oman,

hatuongelei how powerful Zanzibar Empire it was...,

tunaongelea kuwa Zanzibar nayo imo katika historia ya kuwa Empire,

Sifikirii kama Oman imeshawahi kuwa na hadhi ya kuwa Empire..

Tafakari
 
Nimekuwekea map ya empire za Africa umeiona Zanzibar hapo?
 
Hao ndio ya baadhi ya Waliokuwa Masultani wa Zanzibar,Kuna mwarabu hapo

Na hiyo ndio map ya baadhi ya eneo walilolitawala..View attachment 1488064View attachment 1488065View attachment 1488066
Sasa si unaona hapo sultanate of Zanzibar.Hivyo ndivyo ilivyo.Sio wewe unavyotaka kutuaminisha hivyo.Halafu tupe uthibitisho kuonesha Dola ya Zanzibar ilikuwa ina nguvu duniani au labda hata ilishawahi shikilia biashara yoyote ukanda huu tofauti na biashara ya utumwa.Show us!
 
Kama vipi wazanzibar wote wachukue fomu
 
Hadi sasa hivi CCM - Zanzibar imeishapata Milioni 26, hongera na kila heri Mtia nia Urais Ndg. Fatma Kombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…