Naaam, wakati muafaka sasa!
Hussein baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu sana, sasa ameiva kweli kweli.
Maandalizi yalianza baada ya kuambiwa sasa acha jimbo la mkuranga na kisha nenda kohani unguja.
Kisha akapewa uwaziri wa mambo ya muungano na kisha ulinzi.
Tumempitisha huku kote hii yote ni maandalizi ya kushika dola.
Kiongozi muungwana sana.
Kila la heri Dr. Hussein Rais wa Serikali ya 8 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.