Maamuzi ya mgombea Zanzibar hufanyika kisiwandui na jina kupelekwa Dodoma sio kinyume chake ndio maana fomu zinachukuliwa na kurudishwa kisiwandui sio DodomaKama maamuzi ya nani agombee kupitia CCM yatafanyika Kisiwandui basi kaka yangu Hussein ana nafasi finyu ya kushinda.
Ila kama tutarudi kwenye siasa za Dodoma bila shaka atapeperusha bendera.
Zanzibar kwa umwinyi ni balaa next time atakuw mtoto wa shein
Kabisa mtanii tukale mbege na kisusioHahahaa you made me smile Mtani, tuachti tu December tukutane Moshi
Wanamuogopa au? huyu si mzaliwa wa Tanganyika? Lile sharti la Awe mkaazi za Zanzibar na awe na Kitambulisho cha Mzanzibari mkaaziMbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
Bonge la Rais, amepikwa na akapikika.Kudos Daktari
Mahmoud thabit kombo ni kirusi kaka ni zaidi ya maalimu seif na aboud jumbe ..hawezi kupita huyoHe is more of a businessman than a politician; wanambeba tu. Safari hii nyie wazenj mkija Dodoma msikubali kuchaguliwa candidate wenu, kuna vijana kama Mahmoud Thabit Kombo atawafaa sana kuliko Hussein Mwinyi!!
Huyu ndo Rais. Pia atakuwa Rais wa JMT 2025.
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Hivi hachaguliwi kwani kwa kuraIfike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
HIVI KWANINI WAZANZIBAR WALIMNG'OA SULATANI?Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
Sawa nyumbuHana sifa
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.kIfike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Hapa ndipo ninapojiuliza watoto wa muasisi wa taifa la Tanganyika wana-fail wapi? Sioni dalili ya wao kupata nafasi ya uongozi wa juu katika nchi hii.