Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Kama maamuzi ya nani agombee kupitia CCM yatafanyika Kisiwandui basi kaka yangu Hussein ana nafasi finyu ya kushinda.

Ila kama tutarudi kwenye siasa za Dodoma bila shaka atapeperusha bendera.
Maamuzi ya mgombea Zanzibar hufanyika kisiwandui na jina kupelekwa Dodoma sio kinyume chake ndio maana fomu zinachukuliwa na kurudishwa kisiwandui sio Dodoma
 
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

Wanamuogopa au? huyu si mzaliwa wa Tanganyika? Lile sharti la Awe mkaazi za Zanzibar na awe na Kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi
 
Bonge la Rais, amepikwa na akapikika.Kudos Daktari

He is more of a businessman than a politician; wanambeba tu. Safari hii nyie wazenj mkija Dodoma msikubali kuchaguliwa candidate wenu, kuna vijana kama Mahmoud Thabit Kombo atawafaa sana kuliko Hussein Mwinyi!!
 
Mahmoud thabit kombo ni kirusi kaka ni zaidi ya maalimu seif na aboud jumbe ..hawezi kupita huyo
 
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?

Hapa kamanda naona unajitoa ufahamu
Sheini baba yake alikuwa rais?
Au unachuki binafsi na mwinyi?
Ata hivyo katika kutafuta kila mtu ana haki haijalishi ni mtoto wa kiongozi au wa mkulima kikubwa ni kuwa na sifa stahiki.
Mtu aache kutafute pesa yake na wanawe kisa baba aliwahi shika nafasi kama hiyo?
Shame on you
Ata marekani george bush alishika urais wakati ni mtoto wa rais mstaafu the same to uhuru kenyata,kabila n.k
Pambana na hali yako usiangaike na historia au mali ya baba,vip kuhusu wanao watakula vya babu?
 
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

HIVI KWANINI WAZANZIBAR WALIMNG'OA SULATANI?
 
Dr. Hussein Mwinyi ni kiongozi wa pekee aliyeonyesha umahiri wa ajabu na nidhamu isiyo na mfano hata baada ya kukaa kwa muda mrefu sana kwenye nafasi za juu za uongozi. Kwakweli kwa mtu mwenye dhamira njema atakubaliana nami kuwa hicho ni kipaji. Very humble, obidient, understanding, asiye jikweza pamoja na kutoka kwenye familia ambayo imepata previllage ya kutoa Rais wa awamu ya pili, yet he maintained his composure...Siyo rahisi na ni wachache wa namna yake.

All the best kiongozi na Mungu akutangulie katika adhma yako hii njema ya kuwania nafasi ya juu zaidi huko Zanzibar, naamini Mungu hatakuacha wala kukupungukia.
 
ali karume alipochukua fomu nikajua ni teke moja mpaka ikulu
sasa hussein mwinyi nae fomu kachukua naona mchuano mkali hapo
 
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k

Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.

Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.
 
Haki wanayo, kwani wamekatazwa kugombea? Au hao ambao baba zao walikua viongozi katiba haiwaruhusu kugombea?
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
 
Hapa ndipo ninapojiuliza watoto wa muasisi wa taifa la Tanganyika wana-fail wapi? Sioni dalili ya wao kupata nafasi ya uongozi wa juu katika nchi hii.

Baba akiwa professor sio guarantee na watoto watakuja kuwa maprofessor!!! Awamu zote baada ya baba yao kufariki zimejitahidi sana kuwabeba lakini watoto wa mwalimu hawabebeki!! Mkapa alimpa Rose ubunge wa viti maalum but she didi not perform. Makongoro ndio huyo alipewa ubunge wa Afrika Mashariki na mkewe kuwa Jaji wa High court but he has failed to help his mother manage her land assets mpaka viwanja mama yao alikokuwa anafuga kuku sasa yamegeuka mapango ya wahalifu!! Madaraka after having had a tumultuous marriage with his late Chadema MP wife is now trying his hand to replace Nimrod Mkono as the Butiama legislator. They do not have what it takes like their late father to be leaders leave alone visionary leaders!!!
 
Back
Top Bottom