Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Kuna wakati maisha yanakuchagulia uwe nani ufanye nini,usikariri jifunze kutokana na covid-19 imetuchangulia namna ya kuishi, uliwahi kuwaza ipo siku utatembea umevaa barakoa?Life is a choice
Mahmoud thabit kombo ni kirusi kaka ni zaidi ya maalimu seif na aboud jumbe ..hawezi kupita huyo
Sio yule M/kiti wa Act-W???Huyu ndio Rais wa Zbar
Watoto wa viongozi huwa nawahurumia, mtoto wa daktari akiwa daktari anasifiwa karithi akili ya baba yakeIfike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Hahha na yeye amrithi baba yake kuchoma mkaaHapa kamanda naona unajitoa ufahamu
Sheini baba yake alikuwa rais?
Au unachuki binafsi na mwinyi?
Ata hivyo katika kutafuta kila mtu ana haki haijalishi ni mtoto wa kiongozi au wa mkulima kikubwa ni kuwa na sifa stahiki.
Mtu aache kutafute pesa yake na wanawe kisa baba aliwahi shika nafasi kama hiyo?
Shame on you
Ata marekani george bush alishika urais wakati ni mtoto wa rais mstaafu the same to uhuru kenyata,kabila n.k
Pambana na hali yako usiangaike na historia au mali ya baba,vip kuhusu wanao watakula vya babu?
Anaitwa naniHuyo ndio mbadala wa shein
Zanzibar kwa umwinyi ni balaa next time atakuw mtoto wa shein
Mkuu Bora huyu awe raisi, amekulia kwenye mazingira ya uongozi, hawa wengine akina kajambakoti wakipewa madaraka ni wasumbufu sana, nadhani mifano unaijua.
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k
Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.
Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.
Ni protocol tu zinafuatwa lakini kiukweli Dr.Hussein ndo Rais ajae wa zanzibar.
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k
Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.
Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.
Acha zako wewe ubunge ndio urais?Mbona hamshangai huko bara watoto wa Kikwete, Nyerere wanavyojipanga kuwania ubunge?
Mkuu ulichokisema na Mimi nilichokiandika ni kilekile labda Kama haujanielewa nimewasilisha matazamo wangu kwa mfumo wa swali, ndio sababu nikaandika "Wana-fail wapi" hilo neno halina maana kwamba ilikuwa au nilazima waweviongozi , maelezo uliyotoa yamenipa jibu la wapi wanafail japo mtazamo wako ni kupingana na mimi..Baba akiwa professor sio guarantee na watoto watakuja kuwa maprofessor!!! Awamu zote baada ya baba yao kufariki zimejitahidi sana kuwabeba lakini watoto wa mwalimu hawabebeki!! Mkapa alimpa Rose ubunge wa viti maalum but she didi not perform. Makongoro ndio huyo alipewa ubunge wa Afrika Mashariki na mkewe kuwa Jaji wa High court but he has failed to help his mother manage her land assets mpaka viwanja mama yao alikokuwa anafuga kuku sasa yamegeuka mapango ya wahalifu!! Madaraka after having had a tumultuous marriage with his late Chadema MP wife is now trying his hand to replace Nimrod Mkono as the Butiama legislator. They do not have what it takes like their late father to be leaders leave alone visionary leaders!!!
Hapa ndipo ninapojiuliza watoto wa muasisi wa taifa la Tanganyika wana-fail wapi? Sioni dalili ya wao kupata nafasi ya uongozi wa juu katika nchi hii.
Mahmood bado sana, huyu Hussein Tumemwandaa muda mrefu sana na sasa ameshaiva.He is more of a businessman than a politician; wanambeba tu. Safari hii nyie wazenj mkija Dodoma msikubali kuchaguliwa candidate wenu, kuna vijana kama Mahmoud Thabit Kombo atawafaa sana kuliko Hussein Mwinyi!!
Balozi ali karume nani ampe urais?? Ubalozi tu ulimshinda kule Italy.ali karume alipochukua fomu nikajua ni teke moja mpaka ikulu
sasa hussein mwinyi nae fomu kachukua naona mchuano mkali hapo
alivyokua anaongea baada ya kuchukua fomu anaonekana mtu wa masihara sanaBalozi ali karume nani ampe urais?? Ubalozi tu ulimshinda kule Italy.