Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Angechukua ya JMT tumeshwa na Jiwe,njaa nchi mzima ni hatari sana.

Ngoja tuone atafanya nini huko Zanzibar ili atushawishi kumpatia wa JMT 2025.
 
Mahmoud thabit kombo ni kirusi kaka ni zaidi ya maalimu seif na aboud jumbe ..hawezi kupita huyo

Kama Mahmoud Thabit Kombo ni kirusi kwanini alipewa kuongoza wizara nyeti kwa Zanzibar kama ile ya UTALIII? Hizo ni fitna tu he is more capable as politician than Hussein Mwinyi the businessman.
 
Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Watoto wa viongozi huwa nawahurumia, mtoto wa daktari akiwa daktari anasifiwa karithi akili ya baba yake

Mtoto wa mwanajeshi akiwa mjeshi anasifiwa karithi ushupavu wa baba yake

Wanasheria, waalimu, maaskari, wafanyabiashara na wengine hakuna shida ila kwa viongozi ndio tabu as if mtu akizaliwa na mwanasiasa anakuwa hana uwezo wa kuongoza hivyo, akipata nafasi bhasi karithishwa. Kwa nini tusihukumu uwezo wake kwanza kabla ya kuona ubin wake
 
Hapa kamanda naona unajitoa ufahamu
Sheini baba yake alikuwa rais?
Au unachuki binafsi na mwinyi?
Ata hivyo katika kutafuta kila mtu ana haki haijalishi ni mtoto wa kiongozi au wa mkulima kikubwa ni kuwa na sifa stahiki.
Mtu aache kutafute pesa yake na wanawe kisa baba aliwahi shika nafasi kama hiyo?
Shame on you
Ata marekani george bush alishika urais wakati ni mtoto wa rais mstaafu the same to uhuru kenyata,kabila n.k
Pambana na hali yako usiangaike na historia au mali ya baba,vip kuhusu wanao watakula vya babu?
Hahha na yeye amrithi baba yake kuchoma mkaa
 
Mkuu Bora huyu awe raisi, amekulia kwenye mazingira ya uongozi, hawa wengine akina kajambakoti wakipewa madaraka ni wasumbufu sana, nadhani mifano unaijua.

Umenene,kama hili Jiwe limetutia hofu na umasikini tu.
 
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k

Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.

Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.

Mbona wako watoto wa viongozi wengi tu nchi hii? Wangapi wana sifa za kupigiwa mfano kama Dr. Hussein Mwinyi?

Tatizo siyo baba kuwa Rais, ila yeye mtoto mwenyewe ana sifa mpaka za ziada?

Utaona Dr. Mwinyi ni wa kipekee hata pamoja na kuwa mtoto wa kiongozi na kukaa madarakani kwa muda mrefu, aliendelea kujiheshimu, kuheshimu mamlaka na hata kuwa Waziri wa ulinzi kwa sawa mbili bila kusikia mtafaruki au mvurugano kwa majeshi yetu. He je si sifa stahiki kuaminiwa kwa nafasi ya juu?
 
Ni protocol tu zinafuatwa lakini kiukweli Dr.Hussein ndo Rais ajae wa zanzibar.


Si Raisi ni rahisi kutoka Mkuranga , Tokea lini Zanzibar ikawa na Raisi ?? hivi ni nchi hii au Mkoa ??

Zanzibar ni popo si ndege si mnyama , si mkoa si nchi 😭😭😭😭😭😭

Wote wanakuja kuifisidi Zanzibar hawana jipya
 
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k

Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.

Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.

Nadhani kakuelewa
Kamanda kateleza
 
Choice yangu mimi ni Prof Mbarawa.
Huyu baba ni jembe jmani. Wazanzibar wamshawishi huyu baba achukue form. Anaju kazi na pia hajikwezi.. Yuko simple and humble... Ataipeleka Zanzibar mbali..
 
Naaam, wakati muafaka sasa!

Hussein baada ya kuandaliwa kwa muda mrefu sana, sasa ameiva kweli kweli.

Maandalizi yalianza baada ya kuambiwa sasa acha jimbo la mkuranga na kisha nenda kohani unguja.

Kisha akapewa uwaziri wa mambo ya muungano na kisha ulinzi.

Tumempitisha huku kote hii yote ni maandalizi ya kushika dola.

Kiongozi muungwana sana.

Kila la heri Dr. Hussein Rais wa Serikali ya 8 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
 
Baba akiwa professor sio guarantee na watoto watakuja kuwa maprofessor!!! Awamu zote baada ya baba yao kufariki zimejitahidi sana kuwabeba lakini watoto wa mwalimu hawabebeki!! Mkapa alimpa Rose ubunge wa viti maalum but she didi not perform. Makongoro ndio huyo alipewa ubunge wa Afrika Mashariki na mkewe kuwa Jaji wa High court but he has failed to help his mother manage her land assets mpaka viwanja mama yao alikokuwa anafuga kuku sasa yamegeuka mapango ya wahalifu!! Madaraka after having had a tumultuous marriage with his late Chadema MP wife is now trying his hand to replace Nimrod Mkono as the Butiama legislator. They do not have what it takes like their late father to be leaders leave alone visionary leaders!!!
Mkuu ulichokisema na Mimi nilichokiandika ni kilekile labda Kama haujanielewa nimewasilisha matazamo wangu kwa mfumo wa swali, ndio sababu nikaandika "Wana-fail wapi" hilo neno halina maana kwamba ilikuwa au nilazima waweviongozi , maelezo uliyotoa yamenipa jibu la wapi wanafail japo mtazamo wako ni kupingana na mimi..
 
Hapa ndipo ninapojiuliza watoto wa muasisi wa taifa la Tanganyika wana-fail wapi? Sioni dalili ya wao kupata nafasi ya uongozi wa juu katika nchi hii.

Damu huwa aidanganyi mkuu
Anaweza tokea ata mjukuu akawa kama nyerere miaka ijayo
Wanaye wapo kwenye siasa ila hawatoshi ngazi ya urais
Makongoro nyerere alitiaga nia uais 2015
Na ubunge amewai kushika na uenyekiti wa ccm mkoa wa mara
Sasa ivi madaraka anautafuta ubunge jimbo la butihama kumrithi mzee mkono
 
He is more of a businessman than a politician; wanambeba tu. Safari hii nyie wazenj mkija Dodoma msikubali kuchaguliwa candidate wenu, kuna vijana kama Mahmoud Thabit Kombo atawafaa sana kuliko Hussein Mwinyi!!
Mahmood bado sana, huyu Hussein Tumemwandaa muda mrefu sana na sasa ameshaiva.

Dr. Mwinyi unachukua unaweka waaaah...!!
 
Back
Top Bottom