ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Wewe unaamini kama kuna chama kinaitwa CUF?Hizi hadithi tumeanza kuzisikia toka mwaka 1995 na hakuna chochote kimetokea.
Kuna wakati upinzani zanzibar umekuwa na nguvu kuliko mwaka 1995 na 2015?
Kama nani! tupe jina tumshawishi agombeeKila la Kheri kwake ana uzoefu na system na anaonekana ana utulivu wa kichwa, lakini ningetamani awe mtu mwingine nje Mwinyi's circle.
Mpole sana huyu inabidi aende kozi ya ukali...Huyu ndo Rais. Pia atakuwa Rais wa JMT 2025.
wewe ni kitengo ety?Natumaini atashinda
Lakini shemeji yetu kwa ukimya wako utaweza kweli?!
WaZenji wapole utakuwa sawa
Go for it!
support you mingi mingi!
For real.Dr. Hussein Mwinyi ni kiongozi wa pekee aliyeonyesha umahiri wa ajabu na nidhamu isiyo na mfano hata baada ya kukaa kwa muda mrefu sana kwenye nafasi za juu za uongozi. Kwakweli kwa mtu mwenye dhamira njema atakubaliana nami kuwa hicho ni kipaji. Very humble, obidient, understanding, asiye jikweza pamoja na kutoka kwenye familia ambayo imepata previllage ya kutoa Rais wa awamu ya pili, yet he maintained his composure...Siyo rahisi na ni wachache wa namna yake.
All the best kiongozi na Mungu akutangulie katika adhma yako hii njema ya kuwania nafasi ya juu zaidi huko Zanzibar, naamini Mungu hatakuacha wala kukupungukia.
Hoja ya ndugai ya kumuongeza mda yesu?Huyu ndo Rais. Pia atakuwa Rais wa JMT 2025.
Waliopita hawakuwa wanaoa mashinikizo?.... cha msingi maamuzi yafanywe na Wazanzibari bila shinikizo la mwenyekiti taifa!
💣💣💣💥
Tulia tukutawale dogo vp!?Naona familia za kijani kibichi zikipokezana vijiti tu.
Kwani Shein baba yake amewahi kuwa Rais? Hiyo ni demokrasia.Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Kusiwepo na kigezo kwa vile baba yake alikua rais ndio asigombee.... Kama ni competent enough kwa hiyo position its OK kwa hilo...... Mbna USA hata George Bush nae baba ake alikua rais...... Kama anafaa apitishwe tuIfike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Hajawahi kushinda nafasi ya kuchaguliwa uyo u monitor wa secondary nilimshinda hana nyotaChoice yangu mimi ni Prof Mbarawa.
Huyu baba ni jembe jmani. Wazanzibar wamshawishi huyu baba achukue form. Anaju kazi na pia hajikwezi.. Yuko simple and humble... Ataipeleka Zanzibar mbali..
Baba ake aliongoza mwaka mmojaNatabiri kuwa ataongoza Zanzibar kipindi kimoja na kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Tanzania kwa vipindi viwili baada ya Mh. Magufuli kama ilivyotokea kwa Baba yake
mkapa yeye ni nani kwani?Je John atakubali kusafiri na Husein? Kuna mwanabodi aliuza swali humu, Sasa Hussein ameamua kujitosa je, ikitokea Mkapa akampitsha kuwa mgombea kwa upande was visiwani . Je , John atakubali kusafiri na?
Hapa umemaliza kila kitu mkuuNi kweli fimu fomu zinachukuliwa Kisiwandui jirani kabisa na Michenzani na Mkunazini lakini wanaochagua nani awe mgombea kupitia CCM hukaa Dodoma, CCM Zanzibar haichagui mgombea badala yake inachuja tu wagombea wa kuwapeleka Dodoma. Hofu kubwa ya CCM ni kutopata mgombea mwenye msimamo mkali dhidi ya Muungano.
Sijui umeanza lini kufuatilia siasa za Visiwani, labda nikukumbushe tu...
Nashawishika kuamini mkuuMgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM atakuwa Profesa Makame Mbarawa
Mzee Rhuksa ².Hapa kipindi chake mtu usipokuwa billionea basi wewe utakuwa poyoyo. 2026 nitakuwa billionea.Mpole sana huyu inabidi aende kozi ya ukali...
mijizi ya bara itamsumbua sana...
Yote yalitokea US, Kenya, Congo n.k kote huko ni nchi za wajinga?Baba raisi #mtoto raisi # Tanzania ya wajinga
Kama alivyo anza mzee Mtey,kisha akapiga pasi kwa mkwe wake. Mbowe naye akifikisha miaka 90 anamuachia mwanaeHuyo ndio mbadala wa shein
Zanzibar kwa umwinyi ni balaa next time atakuw mtoto wa shein
Kwa katiba ya ufipa?Waziri wa ulinzi na JKT wa nchi gani?
Tanzania hakuna uwaziri bila ubunge, na bunge limevunjwa jana.