DYA imeshatoka. Kila herufi ina magari 899. Siyo 898Inatakiwa ifike DZZ mkuu, ndo ianze E currently tupo DX.. bado DY , a to z , then ije DZ again a to z
Kila herufi moja inabeba usajili wa gari 898 , 101 to 999, ukiondoa 'I 'na 'O' maana hizi huwa hazihesabiwi , mpaka tufike namba E kuna wastani wa usajili wa magari zaidi ya 20000 hivi roughly, sio leo wala mwaka ujao!,
Mwakani kuanIa leo ni siku 10 tu, roughly tunahitaji magari zaidi ya 20000 ili tufike EYaani unataka kusema mwakani hatuanzi na E?
Si utoe maelezo hapaLadies wengi ndo hawajuagi mambo ya namba za magari. Jitahidi uvijue vitu kama hivi esp kama ni kidume
Na A ilikimbia sana baada ya magari yenye namba TZ... kubadilisha namba kuingia A..Aliyegundua mfumo wa huu wa namba alicheza saana maaana kumaliza D tu si mchezo!!!
Nadhani A B C zilikimbia sana sababu ya kuunganishwa na pikipiki.
Yah 899 , it was typing error.DYA imeshatoka. Kila herufi ina magari 899. Siyo 898
Hii E ya mchongo haijatoka rasmi mtu kajisikia tu kuleta taharuki!
Tayari tupo Q[emoji16] watu wanatuletea taharuki mtaani, ikifika kwenye namba Q mniambie
Nchi ilimefunguka sasa hayo magari 20000 mbona fasta tuInatakiwa ifike DZZ mkuu, ndo ianze E currently tupo DX.. bado DY , a to z , then ije DZ again a to z
Kila herufi moja inabeba usajili wa gari 898 , 101 to 999, ukiondoa 'I 'na 'O' maana hizi huwa hazihesabiwi , mpaka tufike namba E kuna wastani wa usajili wa magari zaidi ya 20000 hivi roughly, sio leo wala mwaka ujao!,
Hatuikubali KamweE ya mchongo
ππππππAhsante kwa taarifa...