Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na hii gari ikiwa na namba ya usajili wa DZZ kuashiria kuwa muda wowote kuanzia sasa Namba D itajaa na kuanza kutumika kwa namba E.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mbele yake kuna magari 222 pekee.Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na hii gari ikiwa na namba ya usajili wa DZZ kuashiria kuwa muda wowote kuanzia sasa Namba D itajaa na kuanza kutumika kwa namba E.View attachment 2309702
Zinauzwa kama namba za simuGari bado hazijagika DZZ,huyo ni muhuni amechonga tu kibao.
Special no hii naijua vzrLeo kwenye pita pita zangu nikakutana na hii gari ikiwa na namba ya usajili wa DZZ kuashiria kuwa muda wowote kuanzia sasa Namba D itajaa na kuanza kutumika kwa namba E.View attachment 2309702
F tenaNamba D na namba B zilinipendeza. Huenda F nayo ikawa poa.
Yap. Tukiifikia na MUNGU akatupa hiyo nafasi.F tena
Imagine itakapo fikaNamba D na namba B zilinipendeza. Huenda F nayo ikawa poa.
HahahahaImagine itakapo fika
FUC