Acha uchonganishiAnaitumia mzee makamba sasa
Hamjui kamwe.. ..Kama mtumaji anajielewa Ile' ile'Mheshimiwa ungetumia
Busara kwenda ofisi husika na kulipoti hilo kuliko kuja huku na kusema hivyo uoni unajitengenezea mazingira magumu kwako? Kwaza kwa serikali na pili kwa huyo mtu ni hatari kwako? Futa hii tjreead ushauri tu
Kuna watu walikuwa hawajui namba ya rais inaishia 999 lakini ww umevujisha lakini zaidi kutoa taarifa public na sehemu husika unazijua za kurepot na kushughulikiwa sijaona sababu ya weee kuleta hapaSijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya marehemu rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Lakini huyu kakosea sanaHamjui kamwe.. ..Kama mtumaji anajielewa Ile' ile'
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Huyu hapa mkuu🤣🤣Duh kumbe usalama wa kutosha humu ndani
Ebu niende kwenye thread zako za nyuma nikaone huwa unaandika na kuchangia nini nitacheka nikikuta upo kwenye kula tunda kimasihara
Kwa hiyo unampangia Mungu siyo? Wewe unajua siku utakayoondoka na jinsi utakavyoondoka?nikikumbuka nazidi kuumia, namna alivyokufa kufa hata siamini aisee! 🙁 😡
Sasa kama iko mtandaoni telegram kuna siri tena?Mheshimiwa ungetumia
Busara kwenda ofisi husika na kulipoti hilo kuliko kuja huku na kusema hivyo uoni unajitengenezea mazingira magumu kwako? Kwaza kwa serikali na pili kwa huyo mtu ni hatari kwako? Futa hii tjreead ushauri tu
Andika tena, huenda tukapata kitu cha kujifunza.nimeandika then nikafuta