Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

badison

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
1,450
Reaction score
2,761
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa na mtu.
 
Mheshimiwa ungetumia
Busara kwenda ofisi husika na kulipoti hilo kuliko kuja huku na kusema hivyo uoni unajitengenezea mazingira magumu kwako? Kwaza kwa serikali na pili kwa huyo mtu ni hatari kwako? Futa hii tjreead ushauri tu
Hamjui kamwe.. ..Kama mtumaji anajielewa Ile' ile'

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya marehemu rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS NA JESHI LA POLISI.

Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Magufuli ifungiwe tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na sio iendelee kutumiwa na mtu.
Kuna watu walikuwa hawajui namba ya rais inaishia 999 lakini ww umevujisha lakini zaidi kutoa taarifa public na sehemu husika unazijua za kurepot na kushughulikiwa sijaona sababu ya weee kuleta hapa
 
Back
Top Bottom