namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

Badala ya kuleta jeuri hapa, wahi kwa mtoa huduma ukazifunge hizo laini. Ila ujue sheria ni msumeno, kama zimehusika kwenye uhalifu wowote basi wewe ndio mhalifu mwenyewe.

Matusi hapa jukwaani hayatakusaidia chochote.
hebu ID yako oG ni ipi ili nijue najibishana na nani? kina faiza wengi humu asee.

mimi nimekerwa na kutumika NIDA yangu we unakuja na mambo ya uhalifu kwamba nione najibishana na KOVA
 
hebu ID yako oG ni ipi ili nijue najibishana na nani? kina faiza wengi humu asee.

mimi nimekerwa na kutumika NIDA yangu we unakuja na mambo ya uhalifu kwamba nione najibishana na KOVA
Nimemaliza kukusaidia kwa taarifa. Ukitaka endelea na jeuri yako vijana wa sirro wapite na wewe.
 
mkuu labda kipindi cha kurasimisha line mtandao ulikuwaga shida maana wengi ndio walikuwa wanasajili pale nakumbuka ndio nilirudia kama mara mbili nayo ni baada ya kuonekana haija aceptiwa kutokana na mtandao
Mie mbona nilimuendea hewani alosajiliwa Kwa kitambulisho changu. Akaanza nieleza kuwa alisajiliwa Kwa wakala shilling elfu 10. Akaanza nibembeleza kuwa tukutane tumuone yeye siyo mtu mbaya. Nikasema nooo, nikaenda Airtel shop nikaiondoa, ndo mwsho wake wa kuwa hewani.. Ila Sasa hivi wameelimika, ukiingia tu Kwa hiyo menu Kuna sehemu pia ya kuiondoa
 
mkuu unajiona mjanjaaa ila kuna mahala utashikwa,,, alichosema ni kweli,,, kipindi kile ukisajili ilikuwa inagomagoma ukibonyeza zile namba kuhakiki kama ushasajiliwa unakuta bado inakulazimu usajili tena hii kitu kama haikukuta basi ukae kimya na janjajanja yako.
Sikupingi, hii kitu ipo. Hata Mimi imenikuta vizuri tu. Sema nilienda Airtel shop nikaiondoa
 
Mie mbona nilimuendea hewani alosajiliwa Kwa kitambulisho changu. Akaanza nieleza kuwa alisajiliwa Kwa wakala shilling elfu 10. Akaanza nibembeleza kuwa tukutane tumuone yeye siyo mtu mbaya. Nikasema nooo, nikaenda Airtel shop nikaiondoa, ndo mwsho wake wa kuwa hewani.. Ila Sasa hivi wameelimika, ukiingia tu Kwa hiyo menu Kuna sehemu pia ya kuiondoa
asante mkuu nimejaribu imegoma nimeelekezwa niende ofisini so naenda jumatatu.
 
😳 kwahi
Hazifutiki aisee

Me nilishakuta namba ambazo sizijui.. nikajaribu kufuta kwa namna ile iliyokuwa inasemekana zamani. Hazifutiki

Mpaka wakala, na wakala namba 1 anakufutia na buku
yo nibebe pesa kabisa,, km namba 5 elfu tano.

hivi nikitaka kushtaki nafanyaje?
 
Back
Top Bottom