EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Ahsante sana nimeona.bonyeza *106# fata maelekezo chagua 3 then weka namba ya NIDA utaziona namba zite zinazotumia NIDA yako.
Halotel wameshaiuza hiyoAhsante sana nimeona.
Lakino kuna namba moja ya halotel niliisajiri kwa nida yangu ila sijaitumia muda mrefu kama zaidi ya miezi minne ivii na ishapotea, siioni kwenye orodha ya namba zilizotumia nida yangu.
Kwahiyo wakii-uza wanafuta kabisa usajiri wa nida ya mtumiaji wa zamani.Halotel wameshaiuza hiyo
Tena Airtel ndo kiboko Kwa kutumia vitambulisho vya watu. Sielewi Wana shida ganiHapa nimeangalia tena, nakuta airtel namba 2 ambazo sizijui.
Na mie sijawahi tumia mtando wa airtel
Yeah, mi mwenyewe pesa ilinitokaHazifutiki aisee
Me nilishakuta namba ambazo sizijui.. nikajaribu kufuta kwa namna ile iliyokuwa inasemekana zamani. Hazifutiki
Mpaka wakala, na wakala namba 1 anakufutia na buku
Huwa wanaiondoa wenyewe,,, mi mwenyewe Kuna namba ya Airtel sijatumia muda mrefuuu. Wameiondoa kwenye orodha na wamenifumgia hudumaAhsante sana nimeona.
Lakino kuna namba moja ya halotel niliisajiri kwa nida yangu ila sijaitumia muda mrefu kama zaidi ya miezi minne ivii na ishapotea, siioni kwenye orodha ya namba zilizotumia nida yangu.
Wanatakiwa washitakiwe ni kona kubwa sana kuhifadhi fingerprint ya mtu bila consent ya serikaliMkuu usiwe mjinga kiasi hicho kuna kipindi kwenye application ya usajili ya VODA ilikuwa imewekewa udhaifu uliowawezesha vijana wa kusajili kuhifadhi fingerprint yako hata kwa zaidi ya siku 7 sijui kama wamesishairekebisha kiufupi kampuni hasa vodacom wanaweka mazingira wezeshi kwa mafreelensa kufanya udanganyifu
Wanatunza kwenye mfumo wao locally boss kabla hawajasubmit NIDAAcha ujinga wewe kilaza. Hakuna namna ya kutunza fingerprint kwenye ule mfumo. Unatumia fingerprint ku-retrieve data kutoka NIDA kama one time request. Lazima kidole kiwe kwenye mashine kwa muda fulani mpaka data zije. Usipende kuongelea usiyoyajua.
Wanatunza kwenye backend server na sio kwenye simu ya freelancer.Wanatunza kwenye mfumo wao locally boss kabla hawajasubmit NIDA
Whatever the case, still is illegal without government consent.Wanatunza kwenye backend server na sio kwenye simu ya freelancer.
Government consent ipo na ndio maana wamefanya integration kati ya makampuni ya simu na nida. Makampuni yanatakiwa kutunza kumbukumbu za wateja wao.Whatever the case, still is illegal without government consent.
namsamehe bure. huenda najibishana na mtu aliekaribia kupoteza kumbukumbu.
hata majukwa Mengine namuona anajionaga mjuaji sana.
Hapa nimeangalia tena, nakuta airtel namba 2 ambazo sizijui.
Na mie sijawahi tumia mtando wa airtel