Hahahah mimi mzee mkuuUmeguna nini? Wakati jamaa anamiliki line ya simu we ulikuwa huchagui pa kunya.ππππ
We Kaa pembeni tuππMhmmm
Kwamba hapo 2008 ni zamani?We Kaa pembeni tuππ
We huogopi mzeeπKwamba hapo 2008 ni zamani?
Nilianza tumia Philips mkuu usinichukulie poa mkuuπWe huogopi mzeeπ
Kwenye utunzaji wa kumbukumbu najiweza aiseeπ€π€Watu mnstunza karatasi bado mpyaπ
Sina kikaratasi ata kimoja ila laini ya miaka ile nikiwa na kimotorora changu kinapiga kelele ikoπππKwenye utunzaji wa kumbukumbu najiweza aisee
17 Umri wa mtu kabisa, inabidi huo mtandao wakulipe.2008
Kuwa mjanja pata buzzππBuzz ni bomba
Kuna mwenzako nimemuonya aache tabia ya kutukana watu mtandaoni iko siku utamtukana kibenten wa mamaakoSema ukiwa form 1C we mujahidina.
4m 6 ndo umemaliza 2016? Woiiiiiih24/06/2016 baada ya kumaliza harakati flan iliyokua inanizuia kumiliki simu
Ikawa 0754 bila shaka2003 Vodacom 0744 mshahara wangu wa kwanza naanza kazi,nikachukua Samsung