Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na bias huwez fanikiwa Mkuu hata ao wa 1996+ ni watzNaomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Nchi nzima wanazo!?Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Sikatai lakini waongezwe ikiwa wazee tumeisha na gape lipo lakini wasipewe kipaumbele watoto ikitokea ivo naunda kundi la panyaload huku Kigoma tuanze kuteka mitumbwi tu maana nimechoka.Ukiwa na bias huwez fanikiwa Mkuu hata ao wa 1996+ ni watz
Hahahahahahahaha jamaa ukiwa masikini ukakosa Roho mbaya basi huo umasikini unakua haujakugonga kisawasawa. Lazima akose mtu apate mtu Sasa nani akose ndo uchawi unaanzia hapoKweli hali ni tete hadi watu wanajikuta wanachawia wenzao
My 3 nakuomba pm ninashida na weweKhaaaa jmn Sasa sie Tusubir lini[emoji30]
We una miaka mingapi Mkuu umegonga 40+?Sikatai lakini waongezwe ikiwa wazee tumeisha na gape lipo lakini wasipewe kipaumbele watoto ikitokea ivo naunda kundi la panyaload huku Kigoma tuanze kuteka mitumbwi tu maana nimechoka.
Kumbe Bado kabisaYaani nimebakiza miaka mitano kuikuta 40
Usijari, muda wako utafika tu.Mimi hata buku yakuingia bandaumiza Sina ninabando tu nikisubiri huenda wakapost mkeka wa SENSA niudake mapema
Kipindi Magu anaondoa vyeti feki na wafanyakazi hewa nikawa najisemea afadhali labda akimajiza ataajiri lakini wapi.Hahahahahahahaha jamaa ukiwa masikini ukakosa Roho mbaya basi huo umasikini unakua haujakugonga kisawasawa. Lazima akose mtu apate mtu Sasa nani akose ndo uchawi unaanzia hapo
Nyie wazee energy yenu imepungua pia mmekua na experience kubwa ya kua jobless muendelee kufanya kazi za ujobless vijana wapewe kipaumbeleNaomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s