Namba za NIDA zitumike kuajiri walimu na wataalamu wa Afya

fullcup

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
809
Reaction score
2,204
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.

Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
 
Khaaaa jmn Sasa sie Tusubir lini[emoji30]
 
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.

Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Nchi nzima wanazo!?
 
Kweli hali ni tete hadi watu wanajikuta wanachawia wenzao
 
Ukiwa na bias huwez fanikiwa Mkuu hata ao wa 1996+ ni watz
Sikatai lakini waongezwe ikiwa wazee tumeisha na gape lipo lakini wasipewe kipaumbele watoto ikitokea ivo naunda kundi la panyaload huku Kigoma tuanze kuteka mitumbwi tu maana nimechoka.
 
Kweli hali ni tete hadi watu wanajikuta wanachawia wenzao
Hahahahahahahaha jamaa ukiwa masikini ukakosa Roho mbaya basi huo umasikini unakua haujakugonga kisawasawa. Lazima akose mtu apate mtu Sasa nani akose ndo uchawi unaanzia hapo
 
Sikatai lakini waongezwe ikiwa wazee tumeisha na gape lipo lakini wasipewe kipaumbele watoto ikitokea ivo naunda kundi la panyaload huku Kigoma tuanze kuteka mitumbwi tu maana nimechoka.
We una miaka mingapi Mkuu umegonga 40+?
 
Bado kabisa! Mwaka juzi vimeajiriwa vitoto vya mwaka 2000 wazee tumeachwa.
 
Hahahahahahahaha jamaa ukiwa masikini ukakosa Roho mbaya basi huo umasikini unakua haujakugonga kisawasawa. Lazima akose mtu apate mtu Sasa nani akose ndo uchawi unaanzia hapo
Kipindi Magu anaondoa vyeti feki na wafanyakazi hewa nikawa najisemea afadhali labda akimajiza ataajiri lakini wapi.
Toka hapo nikajifunza usitegemee mwenzio kupata janga ili wewe upate kupitia nafasi yake mana unaweza ukakosa vile vile.
Waajiri tu atleast watu wapungue huku mtaani mana hali ni tete.
Atakeyebahatika amshukuru Mungu na wasiyebahatika pia amshukuru Mungu yawezekana awamu ijayo ikawa zamu yake au akapata sehemu nyingine.
 
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.

Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Nyie wazee energy yenu imepungua pia mmekua na experience kubwa ya kua jobless muendelee kufanya kazi za ujobless vijana wapewe kipaumbele

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom