Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.

Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam 2 Juni, 2025.

1. Mahakama ya Tanzania - 194K

1.PNG

​
2. Millard Ayo - 236K

2.PNG
3. Mwananchi Digital - 17K

3.PNG
​
 
Hata kesi ya yule dada aliyekwapua vibunda NBC miaka ile ya 1980's ilikuwa na wafuatiliaji wengi pia.
 
Wakuu

Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.

Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam 2 Juni, 2025.

1. Mahakama ya Tanzania - 194K

2. Millard Ayo - 236K

3. Mwananchi Digital - 17K

Kwani kuifuatilia ndio kumpenda!! We Fala sana, mbona hata mimi nilifuatilia!!
 
Wakuu

Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.

Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam 2 Juni, 2025.

1. Mahakama ya Tanzania - 194K

2. Millard Ayo - 236K

3. Mwananchi Digital - 17K

Tupatie namba za mahudhurio ya Mkutano Mkuu wa CCM
 
Tupate na za bunge na za siku ya bimkubwa
Nimekimbilia haraka kuangalia mtandao wao wanaoutegemea nimetoka mbio kwa aibu, yaani hadi sasa ni 4K tuu!
Hii ni fedheha na kuonyesha kuna kudharaulika mahali. Bimkubwa ajitafakari!
 
Halafu ukigonga kitufe cha auto translate ya video clip husika ya youtube, tafsiri kwa lugha kubwa za duniani kote maandishi yake yanaonekana na kufuatiliwa na wale wasioongea kiLugha chetu cha KiSwahili.
 
Back
Top Bottom