Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwani kuifuatilia ndio kumpenda!! We Fala sana, mbona hata mimi nilifuatilia!!Wakuu
Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.
Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam 2 Juni, 2025.
1. Mahakama ya Tanzania - 194K
2. Millard Ayo - 236K
3. Mwananchi Digital - 17K
Tupatie namba za mahudhurio ya Mkutano Mkuu wa CCMWakuu
Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa.
Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam 2 Juni, 2025.
1. Mahakama ya Tanzania - 194K
2. Millard Ayo - 236K
3. Mwananchi Digital - 17K
Nimekimbilia haraka kuangalia mtandao wao wanaoutegemea nimetoka mbio kwa aibu, yaani hadi sasa ni 4K tuu!Tupate na za bunge na za siku ya bimkubwa
We achana na haya mambo ya wanaume, rudi kajadiliane mambo yenu ya Zuchu kuolewa au kuachwa. Ebo!Kwani kuifuatilia ndio kumpenda!! We Fala sana, mbona hata mimi nilifuatilia!!
Unaelewa maana ya kuvuta hisia?Kwani kuifuatilia ndio kumpenda!! We Fala sana, mbona hata mimi nilifuatilia!!
ππππTupate na za bunge na za siku ya bimkubwa
Shoga mkubwa we!We achana na haya mambo ya wanaume, rudi kajadiliane mambo yenu ya Zuchu kuolewa au kuachwa. Ebo!
Hatukuwepo,hatukuiona,haituhusuHata kesi ya yule dada aliyekwapua vibunda NBC miaka ile ya 1980's ilikuwa na wafuatiliaji wengi pia.