Namfahamu RPC Mallya tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki

Utaishia kupotezewa muda tu haki hakuna, uonevu unazidi kushamiri kila uchwao na hawachukui hatua yeyote kudhibiti hali hiyo. Sijui tunaelekea wapi kama taifa.
 
Utaishia kupotezewa muda tu haki hakuna, uonevu unazidi kushamiri kila uchwao na hawachukui hatua yeyote kudhibiti hali hiyo. Sijui tunaelekea wapi kama taifa.
Kuna jamaa mmoja hivi ni in charge kituo fulani hivi, alipewa ishu ya kunizingua jamaa kapiga simu akiniambia ananihitaji kituo cha polisi kuna tuhuma zangu za kujibu nikashangaa tuhuma zipoli hizo, basi nikagoma kuitikia wito jamaa ikabidi anitafute popote nilipo sio kaizni sio nyumbani ili tu anitie adabu, nilimpelekea moto hakuamini nginja nginja mpaka akaomba samahani, lakini hapo ni baada ya kunidhalilisha sana
 
Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia
Nadhani watanzania sisi ni wepesi sana wa kuhukumu. Huyo mwandishi wa habari aliyemuhoji angetuwekea clip ya mazungumzo yao maana wakati mwingine waandishi wetu wa habari hawana weledi wanauliza maswali ili wapate majibu wanayotaka wao. Pengine huyo Afande hakuzungumza ama hakumaanisha kilichoripotiwa.
Kimsingi mimi siwaamini waandishi wa habari wa nyakati hizi.
 
Tatizo lao hao wanatumika sana na wakubwa na wenye pesa. Mimi huwa sitaki ukaribu kabisa na hao jamaa maana hawafai.
 
Mimi nilivyomuona alivyo mtu wa kila siku kupostiwa kwenye media nikajua tu hamna mtu hapo
 
Acheni kuhukumu watu bhn uyo mama hajasimama yey kama yey apo ayo maelezo aliyoyatoa ni ya tasisi na sio utashi wake.
Sasa polisi wamekanusha na huyo mama kapelekwa benchi. Sasa mtetee tena. Mjinga sana wewe.
 
Kwani kafanya nini?
 
yaani wiki sasa tunajadili mtu aliyefurw hivi mbona tumekuwa wapuuzi hivi, wacheni jeshi la polisi lifanyekazi zake, wao ndio wako na wahanga na watuhumiwa ndo wako na licha halisi, kwa altituxe hii umasikini kamwe hautaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…