Namfananisha Tundu Lissu na Mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido

Lissu is finished as a politician, chama tawala hapa Tanzania wameshajuwa kuwa jamaa ni kibaraka wa wazungu na usikute watu wanaomzunguka ndiyo wanaotoa ripoti hiyo. Nani anataka kuona Tanzania inaibiwa au kuwa uwanja wa fujo mnufaika ni Lissu na familia yake pekee?
 
Utopolo mtupu. Sioni hata mtu mmoja kwenye saccos ya Mbowe mwenye sifa za Juan. Kufanya harakati sio maigizo jombaa, ni kujitoa mhanga hasa. Maandamano yasiyo kikomo yako wapi?. Maandamano ukuta yako wapi?. Mbona mnakimbilia Kenya, wengine mwajificha ubalozini why?. Halafu punguani Moja linasema you know, maisha yangu na familia yanaumuhimu sasa kuliko kipindi chochote kile. Yani maisha yako ni muhimu kuliko wananchi unaowataka waingie barabarani si upuuzi kabisa.
 
ACHAKUWAFANANISHA MARAISI WA WATU NA HAWA MAKANJANJA WAZEE WA KIKI NA MAIGIZO.
 
Nipe ushahidi kwamba Lissu anatumiwa na Marekani?

Kinyume na hapo umeandika pumba tupu, mnajichekelesha kama watoto na thread zenu za kijinga.
Wajackoyah said as soon as the US embassy opens today (Monday), he will present Lema’s case as he has been in communication with the political attaché, explaining that opposition leaders in Tanzania are being persecuted.

Wajackoya and Tundu Lissu, who has been on Magufuli’s crosshairs for the last three years were fellow students at the University of Warwick in the United Kingdom.

LINK>>> Former Tanzania MP Godbless Lema arrested in Kajiado fleeing to Kenya
 
Mkuu;
Kumpangia mtu nini cha kufanya ni sehemu ya udikteta!

Wewe kama unadhani wanatakiwa waachwe basi usingetoa/kuandika mawazo yako kwenye bandiko ambalo linawafanya wasipumue!

Ulichofanya ndicho nilichofanya!

Hamuwezi kutulia? Waacheni CHADEMA na Lissu wapumue. Mbona hamuanzishi thread za Lipumba na Mrema? Au wao wameshinda?
 
Hakika huyu dogo alipandikizwa na Trump sasa hivi hajui la kufanya
 
Kwa hiyo kwasababu huyo wakili anakwenda kuwashtaki ubalozi wa Marekani ndio Lema/Lissu anatumiwa na Marekani?!

Stop this nonsense of yours, endelea kuwadanganya wajinga wasiojua kufikiria.
 
Jf and GT inapoteza mvuto kwa Post za kichovu kana hizi.tume huru hakuna,polisi ccm,jeshiccm,dedccm unafikiri yote wazungu hawayaoni,ila wewe??
 

Kwani waliotaka kumuondoa hawakujua kama kuna Russia na China?

Hali ya uchumi ni relative kwa sababu maisha yanaendelea.

Kwani umesikia kuna watu wanakufa kwa ukosefu wa chakula nchini Venezuela?

Hoja ya msingi ni kuwa Maduro bado ni Rais na Guaido kwa sasa ni "lame duck" politician!
 
Risasi alipigiwa nchi gani?.we jamaa Kwa kujitoa akili unaweza sana.
 
Hamuwezi kutulia? Waacheni CHADEMA na Lissu wapumue. Mbona hamuanzishi thread za Lipumba na Mrema? Au wao wameshinda?
Chadema na Lissu hawajatulia, Lipumba na mrema wametulia. Sasa chadema kila siku usanii na mnahusisha serikali na watanzania halafu tunyamaze muendelee kupotosha?
Mwambieni lema alipe pesa za watu na mwenyekiti Mbowe aliyesema anakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 aache kumsingizia ole sabaya kwa kupata kipigo Cha shoga mwizi kwenye kura za ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…