Namfananisha Tundu Lissu na Mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido

Namfananisha Tundu Lissu na Mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido

Mkuu;

Nani alikudanganya Maduro ni dikteta?

Maoni yako yanaonyesha huzijui siasa za Venezuela!

Kitu ambacho nimegundua ni kwamba "Always viongozi wazalendo waliojitolea kwa ajili ya kulinda rasilimali za mataifa yao ili zisiibwe na mabepari, basi mabepari hawa wamekuwa wakiwaita viongozi hawa madikteta " na kujaribu kuwaangusha kwa kila njia.

Mfano: Fidel Castro alipofanya mapinduzi Cuba mwaka 1959's kumpindua kibaraka aliyewekwa na Marekani na kubinafsisha makampuni ya kimarekani, basi marekani walifanya kila njia kumchafua castrol kwa kumuita Dikteta na rais anae fadhili ugaidi Duniani.

Mpaka Castrol anafariki dunia mwaka 2018 kama sijakosea, alikuwa amekwepa zaidi ya matukio 366 ya kuuwawa na CIA ya marekani lakini walimshindwa.

Ukija Venezuela ni nchi yenye hifadhi kubwa ya Gesi kuliko taifa lolote duniani, na marekani muda wote wanaumiza vichwa ni jinsi gani wataipata ile gesi bila kipingamizi,

Nakumbuka wakati maandamano yamepamba sana moto venezuela kumtoa Maduro mamlakani, Rais Trump aliropoka akiwa white house kwamba "Venezuela ni sehemu ya marekani " kauli ambayo hadi waandishi wa habari walimshangaa.

Na venezuela hapo hapo ambapo CIA walimpandikiza Cancer Rais Hugho Chavez ambaye baada ya kufariki ndiyo Maduro akamrithi.

Hiyo ni mifano michache lakini ukweli ndiyo huo kwamba Viongozi wazalendo wasiyopenda rasilimali za nchi zao zinyonywe na mataifa mengine basi wamekuwa wakiitwa Madikteta na Wafadhili wa Ugaidi Duniani.

Unaweza ukaona pia china baada ya mapinduzi ya kikumunisti ya mwaka 1949 chini ya Mao Tse Dong ya kuwafurusha Mabepari taifa hilo halikutambuliwa na marekani mpaka pale mwaka 1977 alipofariki Mao ndiyo Marekani ikaamua kuitambua china kama taifa.

Kuna Urusi baada ya mapinduzi ya mwaka 1917 chini ya Vladimir Lenin,
Marekani chini ya rais wa kipindi hicho alihutubia taifa na kuiambia dunia kwamba "Russia is an Evil Empire"

Ni aina hiyo hiyo ya kasumba ya wamarekani iliwakuta kina Robert Mugabe, Muammar Gaddafi, Kwame Nkurumah na wengineo ambao marekani iliwaita kila majina ya ajabu pamoja na kuwawekea vikwazo vya kiuchumi kisa tu wameamua kulinda rasilimali za nchi zao.
 
Lissu kalabata Ubelgiji alafu ghafla karudi anataka Urais.

Kashindwa uchaguzi vibaya, kwa aibu kubwa sasa anataka kusepa kwa kupitia mlango wa kutishiwa maisha.

Lissu akuna wakumtishia maisha, yeye asepa kiroho safi tu, nchi yetu ahiitaji vibaraka kama yeye.

Kazunguka nchi nzima bara na visiwani akuchomwa hata mwiba asitafute visingizio.

niliwahi kusikia kuna watu wanaishi bila ubongo, kupitia comment hii nmethibitisha
 
Mkuu;

Nani alikudanganya Maduro ni dikteta?

Maoni yako yanaonyesha huzijui siasa za Venezuela!
Ukweli Maduro hakuwa na kosa lolote zaidi ya kurithi kijiti kutoka kwa hasimu mkubwa wa US, aliyefukuza makampuni makubwa ya Kimarekani yaliyokuwa yanachimba mafuta Venezuela
 
Ukisoma comment kadhaa humu utagundua wengi walikimbua na hawajui kuhusu historia za ukombozi, i mean ni sifuri upande huo.

Ndiyo maana kuna komenti za kuungaunga.
 
Back
Top Bottom