Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
- Thread starter
-
- #21
Sometimes, vibarua ni changamoto ila mara nyingi vikitokea anasema kazi ngumu, mazingira magumu n.k..Amekuja kwa ajili ya kazi,sawa
Sometimes ni ngumu kwa baadhi ya watu kuendana na mazingira ikiwa unafahamu ajira/vibarua ni changamoto ila kwakuwa wewe mwenyeji na umesema fursa hizo zinapatikana kwa wingi basi Kaa chini uongee naye
Sio Yale makabila ya mungu ndio anajua. Kufanya kazi mtihani hayo. Sijui tuyasaidie vip walahi. Sio watu wa pwani huyo?Kwani we kabila gani?
Ongea nae usimpe chakula afanye kaziMkuu, unaweza kumtafutia kibarua lakini amekuwa akikwepa, mara aseme hajisikii vizuri, mara kachelewa...! yaan atafanya kila analoweza ili mradi tu asiende kibaruani halafu baadae unamkuta vijiweni.
Mm nmemaliza chuo soon tu. Nauza maembe na kupaka rangi majumban na kazi kwenye mashirika naomba. Nimeshangaa San kuona baadhi ya ndugu zangu wananilaumu Kwa nini nauza maembe. Sasa waliotaka niwaombe hela za vocha?. Mkuu rudisha kwenu hiyo mutuSometimes, vibarua ni changamoto ila mara nyingi vikitokea anasema kazi ngumu, mazingira magumu n.k..
Pamoja na hayo, ameshindwa kutafuta namna ya kufanya mfano aende nyumbani kama mazingira yamemshinda. Nimejaribu kumwambia aende nyumbani napo hataki anasema "ngoja nisikilizie labda nitazoea mazingira"
Genius bro [emoji120][emoji120][emoji1666]Kumpa mtu chakula na sehemu ya kulala sio msaada hayo ni mahitaji ya msingi ya mwanadamu na hata yeye hawezi kukukumbuka kwa sababu ulimpa chakula na malazi.
Msaada ni lile jambo utakalolifanya juu yake ili aweze kupata mwenyewe mahitaji ya msingi.
Msaidie ndugu yako hukohuko alipo kama yupo nyumbani kwa wazazi wenu msaidie hapohapo ili atoke kama ulivyotoka wewe.
Kumpa mtu chakula sio msaada ni mahitaji ya msingi boss upo serious? Maandiko yenyewe yanasema asiefanya kazi na asile..sasa hufanyi kazi ila unakula bure useme hujasaidiwa ni haki yako, kweli?Kumpa mtu chakula na sehemu ya kulala sio msaada hayo ni mahitaji ya msingi ya mwanadamu na hata yeye hawezi kukukumbuka kwa sababu ulimpa chakula na malazi.
Msaada ni lile jambo utakalolifanya juu yake ili aweze kupata mwenyewe mahitaji ya msingi.
Msaidie ndugu yako hukohuko alipo kama yupo nyumbani kwa wazazi wenu msaidie hapohapo ili atoke kama ulivyotoka wewe.
Watu wa hivi wapo mkuu, nafikri ni hulka yao ya kutowajibika hata kwa maisha yanayowahusu wao wenyewe au wamejikuta kwenye mazingira ya kukata tamaa, ama wana ndugu na jamaa wengine wanaowazunguka ambao wanaweza kuwasaidia majukumu yao hivyo wanaamua kujiendekeza.....Dah umenikumbusha stori za huko kwetu br.
Ndugu yangu mmoja yeye ana 40 watoto 5 but hajui kujitegemea. Maisha yake yote alizoeshwa kutokujitegemea. Sijui hii ilitokea kwa bahati mbaya ama vipi.
Hadi 200 ya shule kwa wanae hawezi. Watoto wanamcheki Bibi yao na Ni wengi ( bi mkubwa wangu) yaani Ni mtihani.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu watu wa pwani, mbona mzee msoga alipiga kazi ya kutukuka? au mandonga mtu kazi yeye atakuwa mtu wa wapi.... 😂Sio Yale makabila ya mungu ndio anajua. Kufanya kazi mtihani hayo. Sijui tuyasaidie vip walahi. Sio watu wa pwani huyo?
BY ROBERT HERIELPole sana. Kuna post moja humu sikumbuki ila mwandishi ameandika "usiwasaidie maskini acha wafe". Nikiipata nitakupa link usome.
afugaje mtu mvivu!? Mpangie kazi mpaka apaone pachungu hapoZa kwenu!
Nipo mkoa fulani kikazi. Na nina ndugu yangu, mtoto wa Shangazi amekuja huku kikazi na nimempokea kama ndugu yangu. Namhifadhi kulala pamoja na kula.
Kinachonikera kwake ni uvivu. Vibarua vipo sio haba endapo ukiwa na bidii, na huko kwenye vibarua anaweza kwenda na akapata chakula huko huko (ukibahatika) na kupunguza gharama za chakula either kwake au kwangu.
Mimi kila siku naenda kazini ila yeye amekuwa mtu wa kulala tu na kuzurura.
Kuna mgahawa nimempeleka awe anaenda kula then nije kulipa ikiwa siku amekosa kibarua lakini imekuwa kigezo cha yeye kutojishughulisha (pengine kwa sababu ana uhakika wa kula na kulala).
Amekuwa analala, akiamka asubuhi anaenda pale mgahawani anakula, anaingia vijiwe vya drafti, vibanda umiza n.k.
Kiukweli wakuu ananipa gharama za chakula sana na ukizingatia kuna vibarua angefanya tu na kujiingizia angalau visenti pamoja na kula.
Je, nimfanyaje huyu wakuu maana ni kama yupo nyumbani kwa Baba yake amesahau kuwa tumekuja kupambana?
Asee inaskitisha. Na unajiuliza bi mkubwa 60+ anawezaje kuwalisha wao? Na si wao wamlishe bi mkubwa.Watu wa hivi wapo mkuu, nafikri ni hulka yao ya kutowajibika hata kwa maisha yanayowahusu wao wenyewe au wamejikuta kwenye mazingira ya kukata tamaa, ama wana ndugu na jamaa wengine wanaowazunguka ambao wanaweza kuwasaidia majukumu yao hivyo wanaamua kujiendekeza.....
Mtu anaishi passively ili mwisho wa siku yeye na familia yake wawe mzigo kwa wengine, na unakuta watu wa hivyo wana lawama kishenzi...Asee inaskitisha. Na unajiuliza bi mkubwa 60+ anawezaje kuwalisha wao? Na si wao wamlishe bi mkubwa.
Chaajabu utaskia maza anawapelekea hata vihela kidogo ulivyotuma eti nao watumie.
Huwa najiuliza hivi maza asipokuwepo maisha yake na familia yatakuwaje
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app