MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Vitoto vya siku hizi haviendi jando jamaa yangu ,ndiyo maana utakuta kila siku kupandisha vinyuzi vyenye majibu hata bila kuambiwa .UKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.
UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .
HUYO MTOTO SIO WAKO
FALAAA WEWE
Umepigwa na kitu kizito chenye nncha kali na mtoto sio wako nenda kapime DNA kama una ujasiri kama upo nyumba ya kupanga sepa ukaanze maisha kwingine upyaNisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?
Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.
Mwaminifu huyu?
Sidhani, itakuwa hawatimizi wajibu wao na waweza kuwashtaki kama wakifanya hivyo.ila inasadikia kibongo bongo hupewi majibu ya kweli hata kama mtoto si wako kwa hofu ya kutengeneza malezi duni kwa mtoto.
Amani kwenye usaliti hadi mtoto🤣Kama unataka amani na mpenzi wako achana na simu yake...
For the child interestBinadamu humuwezi akiamua kucheza na akili yako.
NB:Hajakatazwa kumfuatilia ila iwe kwa akili nyingi.
Mimi mwenyewe nipo nalia huku naenda kanisaniHuu ushauri umeniliza sana
Na ametuliza kende tuAmani kwenye usaliti hadi mtoto🤣
Unapoteza muda huwezi kushinda kesiSidhani, itakuwa hawatimizi wajibu wao na waweza kuwashtaki kama wakifanya hivyo.
Hayo ni mawazo mabaya tu...Amani kwenye usaliti hadi mtoto🤣
aka korodaniNa ametuliza kende tu
Tukiondoka na kuanza upya kwingine ndo pona yetu. Unataka akae hapo afe na msongo wa mawazo?Hayo ni mawazo mabaya tu...
Wanaume ndo maana mnakufa mapema
Mi ni konda wa bajaj na nina siri nyingi za wake zenu na kama ningekuwa najua kuandika hapa nina uwakika kungechafuka .Nikiona mtu anahitaji simu ili ajue/agundue mpenzi wake amebadilika namuona kama hajapevuka.
Wakati mwingine tunawachia bajaji iwe gesti na msela tunakaa pembeni wakimaliza wanatuita tunawarudisha kila mmoja kwake. Pesa mafuta pesa manukato pesa faraja pesa mmmwaaaaMi ni konda wa bajaj na nina siri nyingi za wake zenu na kama ningekuwa najua kuandika hapa nina uwakika kungechafuka .
Swala la kushika simu ya mwenza ni kama kumlinda kimtindo na sio swala la kupevuka na kama unaona hivyo sawa maana kwenye hizi bajaji tunabeba siri nyingi sana.
Tena anasuguliwa haswaaaaUKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.
UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .
HUYO MTOTO SIO WAKO
FALAAA WEWE
Hadi anapiga maji baridiTena anasuguliwa haswaaaa
Na gari analo ila amelipark mlimani city atakuja kulipitia akimaliza mishe zake.Wakati mwingine tunawachia bajaji iwe gesti na msela tunakaa pembeni wakimaliza wanatuita tunawarudisha kila mmoja kwake. Pesa mafuta pesa manukato pesa faraja pesa mmmwaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣Hadi anapiga maji baridi
Wapi wanaume wanakufa mapema ?Hayo ni mawazo mabaya tu...
Wanaume ndo maana mnakufa mapema