Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

Lengo lake ni kwamba kumgundua mwanamke Kama anachepuka haitaji simu ili agundue. Vitendo vina tosha
 
Nikiona mtu anahitaji simu ili ajue/agundue mpenzi wake amebadilika namuona kama hajapevuka.
Kwa swala la simu hili nakubaliana na ww na hili mimi halinisumbui simu ya wf nilimkabidhi mimi kitambo sna na hakuwahi hta kuhangaika kubadilisha passwrd niliyoweka na kuna muda anaweza kunisusia simu yake siku nzima ila hii hainifanyi niridhike na kila kinachoendelea
 
Du pole
 
CHangamoto
 
Jitahidi ukue kiakili mkuu hizi hisia zitakumaliza na kukutoa nje ya malengo kabisa.

Tambua haupo peke yako.
 
Wewe bado mvulana siyo kwa gubu hilo

Mwache huru kabisa kwa kuwa ipo ck utamshika live kama anakupopoa

Lkn kwa nini usimuoe mpaka sasa yaani 2yrs kwa relationship inatia kinyaaa
 
Wewe bado mvulana siyo kwa gubu hilo

Mwache huru kabisa kwa kuwa ipo ck utamshika live kama anakupopoa

Lkn kwa nini usimuoe mpaka sasa yaani 2yrs kwa relationship inatia kinyaaa
Kinyaa gani hapo wewe unapata mtu anakulana na demu wake for two years?
Unataka wafunge ndoa ili jamaa apate hasara si ndio?

Ushaona mwanamke mwenuewe ni Likunguru fulani hivi halieleweki
Tuondolee unafiki wako hapa.
Unajiona umestaarabika ?
Unakuta unawaambia wanaume wakutumie pesa Mix by Yas.

Toa hapa unyuma wako mkubwa kama wa wenye makalio makubwa.
 
Huna akili

Ukipata akili ndo utaelewa
 
Mkuu..Mkuu ..mkuu nimekwita Γ— 3 Achana na simu ya mwanamke narudia tena achana na simu ya mkeo ukitaka kuishi kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…