Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Wabongo bana, umeulizwa swali na wewe unauliza swali...Jibu then leta swali sasa na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuh baba God, namkumbuka nilienda kujionea vituko 2013 kanisani kwake, kumbe keshapotea. Nyakato buzuruga alijenga akapaita Yerusalemu ndogo full farasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walishasema ni Mzee wa upako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani unapoona afya ya mwanadam mwenzako inazorota sio jambo la kushangilia sana.Mana hata wewe yanaweza kukupata..

Inasikitisha kuna kipindi cha television niliona akiojiwa alisema mwaka1990s aliwai ugua TB na alitibiwa akapona kabisa.Tatizo nadhani ni kurejea kunywa pombe kali.Huenda tatizo limemrudia.Najaribu kubahatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuh baba God, namkumbuka nilienda kujionea vituko 2013 kanisani kwake, kumbe keshapotea. Nyakato buzuruga alijenga akapaita Yerusalemu ndogo full farasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Zilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
 
Duuuuuh ila Baba God japokuwa alikuwa anatumia Nguvu za Giza sintomsahau mwaka 2004 mama angu Bugando Hosp aliambiwa ana kansa ya INI na akaambiwa within 6 months atakuwa kafa , alikuwa kavimba tumbo balaa, akaenda kwa baba God kuombewa tumbo likaisha akapona kurudi Bugando akaambiwa haumwi chochote, mpk Leo yupo hai na mzima wa Afya, 14 yrs now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa umenikumbusha mbali baba god mfalme. Kangae moja. Alienda kuzimu huyu mtumishi wa shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…