Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Zilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
Duniani kuna vitukoooo! Huyo baba Godi hukuwahi pata picha yake?
 

Basi kipindi hicho hakutumia nguvu za giza (kama kweli alishawahi kuzitumia). Watumishi wengi huanza vizuri na Mungu Jehovah wakiwa na upako lakini baadae hujitwalia utukufu unaostahili kuwa ni wa Mungu Jehovah pekee. Mwishowe hupoteza nguvu za Roho Mtakatifu na matokeo ya hilo yanajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…