Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Zilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
Duniani kuna vitukoooo! Huyo baba Godi hukuwahi pata picha yake?
 
Duuuuuh ila Baba God japokuwa alikuwa anatumia Nguvu za Giza sintomsahau mwaka 2004 mama angu Bugando Hosp aliambiwa ana kansa ya INI na akaambiwa within 6 months atakuwa kafa , alikuwa kavimba tumbo balaa, akaenda kwa baba God kuombewa tumbo likaisha akapona kurudi Bugando akaambiwa haumwi chochote, mpk Leo yupo hai na mzima wa Afya, 14 yrs now

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi kipindi hicho hakutumia nguvu za giza (kama kweli alishawahi kuzitumia). Watumishi wengi huanza vizuri na Mungu Jehovah wakiwa na upako lakini baadae hujitwalia utukufu unaostahili kuwa ni wa Mungu Jehovah pekee. Mwishowe hupoteza nguvu za Roho Mtakatifu na matokeo ya hilo yanajulikana.
 
Back
Top Bottom