Namiliki vitu hivi. Je, kuna shida nikioa kwa sasa?

Binafsi sioni shida yeyote ikiwa;

1. Mnampendana kwa dhati.
2. Una uwezo wa kifedha.
3. Uko tayari kwa majukumu ya ndoa.
4. Mnaelewana kuhusu matarajio ya maisha.
5. Familia hazina pingamizi kubwa.
6.Una ukomavu wa kiakili na kihisia.

Kama yote yapo sawa, endelea!
 
Wakuu getho limeshatimia kama linavyoonekana hapa.

Yani amekosekana mrembo tu kwa sasa.

Naomba baraka zenu wakuu nifanikishe jambo langu hili.
Unaleta mtoto wa watu umlaze chini bila sababu japo una kijigodoro, wakati kwao ashazoea kulala kwenye kitanda?

Hakuna kashifa kwa mwanaume kama kuoa halafu mwanamke akukute ukilala chini na hauna samani za maana.

Hapo bado haujakamilisha vya muhimu.

Nunua kitanda halafu nitakueleza kingine cha muhimu kinachokupasa kufanya.
 
tawire kiongozi 👍👍
 
Wakuu getho limeshatimia kama linavyoonekana hapa.

Yani amekosekana mrembo tu kwa sasa.

Naomba baraka zenu wakuu nifanikishe jambo langu hili.
Tafuta viwanja 2 hivi 700 sqm ....ukiwaxnabyo 2 jiandae kuoa sasaaa......utanielewa Baadae
 
hujasema chanzo chako cha kipato kitakachoendesha mradi wako huo usiozalisha

Kumbuka ndoa haijaribiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…