matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #61
Corona Dr Magufuli hata kama angekuwa anagombea urais wa UN angeshinda. Hata sasa hivi nashangaa kwa nini anasumbuka mikoani wakati heshima ya maamuzi ya Corona alitakiwa awe ametulia tu anahamishia samani zake Dodoma Mji Mkuu akijiandaa Kumaliza miaka yake 2025.ingawa kwa kiasi flan jamaa ni kibaraka,jinsi alihandle ile issue ya makinikia , ilikua total failure kwao, ukiongeza na jinsi corona ilienda, kwa kifupi jamaa ana element za kijasusi, na kuna uwezekano kunfa watu wanampa bichwa mambele uko ndo maaana haogopi, to describe him yes anaweza kua kibaraka
Hatukupaswa kabisa kuwa na uchaguzi kwa heshima ya corona strategy ya Mheshimiwa rais.
Makinikia Lissu alikuwa sahihi kuliko wakina Osollo sema hakuwa na Adabu tu. Hata dunia ilitushangaa kwa zile findings za copper concentrate.
Kila mwishoni nilijua serikali ilikuwa inaexagerate zile data makusudi kupata imani kwa wananchi na kuwabana wale wazungu tu.