Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

Mkuu kachukiwa kweli kweli na walio wengi. Wanaomsifia sasa hivi ni kakikundi kadogo cha wanafiki wanufaikaji. Kikundi kile kinatumia udhaifu wake wa kutojua ni nini hasa anachokiamini na kukisimamia.
yaan rais wa nchi hii hajui nn anachokiamini na kukisimamia! mtu mbumbu kiasi hicho anasurvive vipi kwe hatamu za uongozi mpk kufika hapo alipo leo? ht km tunakosoa ila sasa hii ni too much au ndio kutake vitu easy km kina shafii dauda na soka letu, hata km humpendi angalau jaribu kuwa objective
 
Soon atamtoa huyu ndugu yetu....mama ana huruma sana....so endelea kumpenda mama.
 
yaan rais wa nchi hii hajui nn anachokiamini na kukisimamia! mtu mbumbu kiasi hicho anasurvive vipi kwe hatamu za uongozi mpk kufika hapo alipo leo? ht km tunakosoa ila sasa hii ni too much au ndio kutake vitu easy km kina shafii dauda na soka letu, hata km humpendi angalau jaribu kuwa objective
Kweli hatunabudi kumtetea!! Lakini amwachie Mbowe hana madhara kwa watz ,Mbowe hawezi kuwadhuru wtz hata siku moja,,,Siasa zifanyike majukwaani sio magerezani
 
Anatapakaza madarasa,zahati,Vituo vya afya,barabara za vijijini,muswada bima ya afya kwa wote unaenda kuwasilishwa na mengine mengi,,,Kibaya ni kumfunga mzee Mbowe

Anatapakaza madarasa badala ya kutapakaza walimu[emoji848]
 
Anatapakaza madarasa badala ya kutapakaza walimu[emoji848]
Mbona hukuhoji kipindi cha Magufuli ambae alikuwa hataki kusikia kitu kinaitwa ajira wala mtumishi wa umma?? Unafiki si jambo jema tenda haki
 
Anatapakaza madarasa badala ya kutapakaza walimu[emoji848]
Toka ameingia ametangaza ajira kibao taasasi mbalimbali au haupo nchi hii!!? Ila nachotaka na kutamani ni amwachie
Mbowe sio mhalifu hata kidogo aache kumtesa
 
Rais Samia binafsi nampenda lkn kila nkifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea,,,Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda.Samia ananipa wakati mgumu,kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lkn swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana,,,,akumbuke wana ccm ni wanafiki,watu pekee waliompa moyo wa kuongoza nchi baada ya kiapo ni wanachadema wakiwa na usemi wao *MAMA ANAUPIGA MWINGI" Huku ccm wengi wakipiga vifua na kusema mwanamke hawezi kuongoza nchi.Mpendwa Samia hutendi haki kwa Mbowe,tumia mazungumzo na wapinzani usitumie magereza kuwatesa.
Daa na mie nilikuwa na mapenzi na Samia, ila baada ya kumpa Mbowe bogus case nimemchukia saaaaana
 
Toka ameingia ametangaza ajira kibao taasasi mbalimbali au haupo nchi hii!!? Ila nachotaka na kutamani ni amwachie
Mbowe sio mhalifu hata kidogo aache kumtesa

Maitaji ya walimu ni kiasi gani na ajira katoa kiasi gani ni vema tuende na takwimu kabla ya kuanza ushabiki maandazi;
 
Maitaji ya walimu ni kiasi gani na ajira katoa kiasi gani ni vema tuende na takwimu kabla ya kuanza ushabiki maandazi;
Tuanze na takwimu za Magufuli aliajiri wangapi!!!? Kabla ya kuanza ushabiki maandazi
 
Ajira zilizotangazawa na serikali ni tone tu katiķa bahari ya ukosefu wa ajira.
Toka ameingia ametangaza ajira kibao taasasi mbalimbali au haupo nchi hii!!? Ila nachotaka na kutamani ni amwachie
Mbowe sio mhalifu hata kidogo aache kumtesa
 
Back
Top Bottom