Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Ndo tunakwambia we ni mnafiki kwa sababu hukusema chochote wqkati Magufuli anakataa kuajiri!!?
Kumkosoa Magufuli ilikuwa ni kujikatia tiketi ya kwenda ahera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tunakwambia we ni mnafiki kwa sababu hukusema chochote wqkati Magufuli anakataa kuajiri!!?
Kauli zijibiwe kwa kauli na sio kujibu kauli kwa kum'bambikia kesi mtoa kauli.Tatizo makongamano ya katiba na kauli kali kali za viongozi wa chadema
mbowe aliufyata enzi za magu ila sasa hivi anataka kuonyesha ushupavu wake kwa mama sasa hii ni km provocation hakuna mtu anayeweza kuvumilia, sometimes wapinzan wenyew ndio wanacreate mazingira magumu, walimwita jk dhaifu kikaja chuma wakasema dikteta kaja mama anawabembeleza wanakuja kama huyo hapo juu anasema mama haelew anachofanya, sasa hawa kina mbowe wanatikisa kiberiti halafu mama akiwashushia moto watu wanapiga kelele sa sijui sisi wabongo tunataka nini, binafsi imefikia kipindi wapinzani siwaelewi ila hata mitaan support kwa upinzani km imepungua kiasi flan si kwamba watu wanaikubali sn CCM bali upinzani hauelewek kabisa uko shagalabagalaKweli hatunabudi kumtetea!! Lakini amwachie Mbowe hana madhara kwa watz ,Mbowe hawezi kuwadhuru wtz hata siku moja,,,Siasa zifanyike majukwaani sio magerezani
Kauli zijibiwe kwa kauli na sio kujibu kauli kwa kum'bambikia kesi mtoa kauli.
mbowe aliufyata enzi za magu ila sasa hivi anataka kuonyesha ushupavu wake kwa mama sasa hii ni km provocation hakuna mtu anayeweza kuvumilia, sometimes wapinzan wenyew ndio wanacreate mazingira magumu, walimwita jk dhaifu kikaja chuma wakasema dikteta kaja mama anawabembeleza wanakuja kama huyo hapo juu anasema mama haelew anachofanya, sasa hawa kina mbowe wanatikisa kiberiti halafu mama akiwashushia moto watu wanapiga kelele sa sijui sisi wabongo tunataka nini, binafsi imefikia kipindi wapinzani siwaelewi ila hata mitaan support kwa upinzani km imepungua kiasi flan si kwamba watu wanaikubali sn CCM bali upinzani hauelewek kabisa uko shagalabagala
hpn wapinzan wetu nao wafanye siasa za kistaarabu watoe hoja kali badala ya kauli kaliKauli zijibiwe kwa kauli na sio kujibu kauli kwa kum'bambikia kesi mtoa kauli.
hpn wapinzan wetu nao wafanye siasa za kistaarabu watoe hoja kali badala ya kauli kali
Basi hata waitane huko Dodoma wakae hata kikao cha kamati kuu wajadili waje wamjibu kwa hoja kwanini hawataki katiba mpya na sio kupika kesi ili kumzima mleta hoja.Ndani Ya Ccm Mtu Wa Kupangua Hoja Za Mwamba Mbowe Bado Hajazaliwa
itasaidia nn km kuna watu wanaamin kuwa mbowe hawez kosea na hata akikosea hatakiwi kukamatwa sasa katiba mpya inatusaigiaje kwenye mazingira km haya, matatizo yetu sisi sio katiba ila vichwa vyetu, si ndio sisi tulikua tunajifukiza kujikinga na hii kitu!Tunataka Katiba Mpyaaaaa
What is lesser evil between kauli kali or kum'bambikia kesi mtoa kauli kali??hpn wapinzan wetu nao wafanye siasa za kistaarabu watoe hoja kali badala ya kauli kali
sijui zipi. ila pamoja na mambo yake mengine but mtu km zitto angalau anajitofautisha na wengine kuna kpnd huwa anatoa hoja kali na mifano halisi kabisa afu wahusika wanajifanya km hawaoni vile au hawasikii hoja zake ila hawa wengine ni siasa za matukio tuKauli Kali Zipi?
itasaidia nn km kuna watu wanaamin kuwa mbowe hawez kosea na hata akikosea hatakiwi kukamatwa sasa katiba mpya inatusaigiaje kwenye mazingira km haya, matatizo yetu sisi sio katiba ila vichwa vyetu, si ndio sisi tulikua tunajifukiza kujikinga na hii kitu!
sijui zipi. ila pamoja na mambo yake mengine but mtu km zitto angalau anajitofautisha na wengine kuna kpnd huwa anatoa hoja kali na mifano halisi kabisa afu wahusika wanajifanya km hawaoni vile au hawasikii hoja zake ila hawa wengine ni siasa za matukio tu
hakuna lesser evil, evil ni evil tu na kati ya hao wawili hakuna atakaechange kisa kuna katiba mpya maana katiba inakuwa na maana km kuna utii ila km watu hawatii katiba hata iwe nzuri vipi haisaidii kitu,What is lesser evil between kauli kali or kum'bambikia kesi mtoa kauli kali??
hakuna lesser evil, evil ni evil tu na kati ya hao wawili hakuna atakaechange kisa kuna katiba mpya maana katiba inakuwa na maana km kuna utii ila km watu hawatii katiba hata iwe nzuri vipi haisaidii kitu,
kwani kuwa CCM ni dhambi? mi nimesema anajua kujenga hoja. sasa km yupo ccm au kwngne sifahamHujui Zipi Are You Serious [emoji15] Zitto Ccm
nipe mfano wa nchi yoyote ile africa ambayo katiba mpya ilileta ahueni katika mfumo wake wa kisiasa, mabadiliko yanaanzia kwa watu wenyew kwanza, watu wanaoamin mbowe hawez kukosea/kushtakiwa plus wale wanasayansi walioshauri mashine za nyungu zikafungwe hospitali kabisa hapa katiba mpya inaweza isiwe msaadaKwanini Ccm Mnaogopa Katiba Mpya?
Mahaba yamekupa upofu ndiyo maana unaona kudai katiba mpya ni dhambi inayolingana na dhambi ya kubambikia kesi ya ugaidi.hakuna lesser evil, evil ni evil tu na kati ya hao wawili hakuna atakaechange kisa kuna katiba mpya maana katiba inakuwa na maana km kuna utii ila km watu hawatii katiba hata iwe nzuri vipi haisaidii kitu,
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuhusu Magufuli Hilo Swala Nazani Diaro Alishatolea Ufafanuzi,