Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

kwani kuwa CCM ni dhambi? mi nimesema anajua kujenga hoja. sasa km yupo ccm au kwngne sifaham

Kuwa ccm sio dhambi ila dhambi ni kujificha kwenye koti la upinzani wakati yeye ni ccm, Zitto hana hoja ila ni mdandia hoja
 
Raisi sio mungu, kukosolewa lazima,,Kama upinzani umekufa mbona CCM wanaiba ata vitongoji taga wewe[emoji1]
 
Ashitakiwe kwa haki sio huo upuuzi wa Kaaya,Mahita,Kingai na Kaaaya[emoji1][emoji1]
 
Kwani siasa za matukio Ni jinai???[emoji848]
 
Taga unaogopa katiba hatr
 
Mahaba yamekupa upofu ndiyo maana unaona kudai katiba mpya ni dhambi inayolingana na dhambi ya kubambikia kesi ya ugaidi.

Mfupa umewakwama kwenye koo mmepanic hadi mnafanya maigizo ya kujichoresha mahakamani kwenye kesi ya kubumba.
katiba mpya haitokuwa na maana yeyote ile km mentality za watz ni zilezile, km huheshimu katiba hii nn kitafanya uheshimu ile? ht kwa wenzetu wanafanikiwa si kwasababu wana katiba nzuri sana ila ule utayari wa kuheshimu katiba zao
 
Huenda litamkosti huko mbele
 
Taga unaogopa katiba hatr
hata EU watuandikie ili tuitumie tutakuana na matatizo yaleyale tu kwasababu sisi tuna shida kwenye mitazamo yetu, shida si katiba bali kureinforce hiyo katiba, we unafikiri ukicopy katiba ya ujeruman ukapaste yemen itasaidia chochote? ila ya yemen wajeruman wanaweza wakaishi nayo tu
 
YEYE NA SERIKALI YAKE.
PROF JUMA NA MAHAKAMA YAKE.
NDUGAI NA BUNGE LAKE.


Ukiuyaweka kichwani hayo mambo matatu huwezi changanyikiwa. Vinginevyo misumari yako kichwani imekaa vibaya.
 
Mkuu kachukiwa kweli kweli na walio wengi. Wanaomsifia sasa hivi ni kakikundi kadogo cha wanafiki wanufaikaji. Kikundi kile kinatumia udhaifu wake wa kutojua ni nini hasa anachokiamini na kukisimamia.
Wapuuzi kama ww ndio wanaweza kumchukia Rais kwa sababu ya mpumbavu mmoja (MBOWE)
 
katiba mpya haitokuwa na maana yeyote ile km mentality za watz ni zilezile, km huheshimu katiba hii nn kitafanya uheshimu ile? ht kwa wenzetu wanafanikiwa si kwasababu wana katiba nzuri sana ila ule utayari wa kuheshimu katiba zao
Hoja nyepesi zenye negative expectations kuwa eti "katiba mpya haitakua na maana yoyote kwasababu mentality ya tz ni zilezile" ni kichaka cha kujificha mumiani na vijibwa vyake.

Kama una nia njema unapaswa kuamini kuwa katiba mpya ndiyo itabadili hizo unazoita "mentality zilezile za wa tz"
 
Umeandika kwa majonzi sana na mabeberu wanamlia mingo tu. Angalia Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kaishia Kenya tu. Hapa hawaji.
 
Lita???? Limemkost Sana leo Arusha hakuna mtu aliyekuwa na time naye
Yaan we fala nchi hii ilivyo kubwa useme Arusha hawana time nae?. Kwani umeambiwa alienda kwa shughuli za kikawaida pale.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…