ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Kusema ukweli Pasha alikuwa ni msanii mwenye kipaji cha Hali ya juu mno labda Kama hasingekosa manajiment inayojitambua na kufahamu vyema kazi na umuhimu wake kwa msanii PASHA huenda Leo tungekuwa tunaliongelea jina la Pasha katika engo nyingine ambayo ni kubwa mno.
Leo katika kupitia pitia labrary yangu ya nyimbo za bongofleva za zamani Basi nimekutana na ngoma moja Kali ya PASHA hii ngoma inaitwa umeniweza asee jamaa aliimba Sana umu ndani na kwa ufundi wa Hali ya juu Sana asee.
Mwenye kupenda amsikilize hii ngoma Kisha atoe comment zake hii ngoma Ni Kali mno jamaa alikuwa Mbele ya muda Sana Yani ngoma zinazotamba leo kwenye industry jamaa Alishaga zifanya kitambo sana