Namkumbuka msanii anayeitwa Pasha alikuwa na kipaji cha hali ya juu sana

Namkumbuka msanii anayeitwa Pasha alikuwa na kipaji cha hali ya juu sana

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu hawa wasanii walibweta baada ya njaa waliyokuwa nayo kwisha

Muone Harmonize siku hizi anavyoimba atadhania hataki

Alafu ameanza tabia ya kuongea ongea kwenye nyimbo badala ya kuimba..na tabia za mipasho kila wimbo! Anachokitafuta atakipata sema pona yake ni washabiki maandazi wa hizi team!
 
Sasa hii ngoma yenye makelekele nayo nzuri...

Ni soo ni wimbo bora kutoka kwake...kidogo na Hidaya.
 
Sijui nini kiliwapata wasanii kama Maro,Pasha,Qchira,TID,Spark,Matonya,Tundaman nk baada ya bwana dayamondi Dangote kuibuliwa na shatani toka Mbagara

Nahisi atakuwa anawaroga wenzake ili wasipendwe maana haiwezekani mtu kama banana zoro na ile sauti yake nzuri leo hakuna anayemfuatilia
Uandishi wako tu unaonesha wewe bado mlugaluga;

halafu kichwani hamna kitu pia[emoji41]
 
Alafu ameanza tabia ya kuongea ongea kwenye nyimbo badala ya kuimba..na tabia za mipasho kila wimbo! Anachokitafuta atakipata sema pona yake ni washabiki maandazi wa hizi team!
Kabisa mkuu, unajua hawa wasanii wakiwa underground wanakuaga na uchu wa kutoboa sana, mayai yake, maji ya moto yake ili mladi sauti ikae sawa ona sasa akishatoboa nisheeda.
 
Ni Soo...wimbo wangu pendwa
 
Jamaa huyu ni muendelezo wa vipaji vilivyopptea vya zamani..list ni ndefu
 
Back
Top Bottom