Namkumbuka msanii anayeitwa Pasha alikuwa na kipaji cha hali ya juu sana

Kusema ukweli Pasha alikuwa ni msanii mwenye kipaji cha Hali ya juu mno labda Kama hasingekosa manajiment inayojitambua na kufahamu vyema kazi na umuhimu wake kwa msanii PASHA huenda Leo tungekuwa tunaliongelea jina la Pasha katika engo nyingine ambayo ni kubwa mno.

Leo katika kupitia pitia labrary yangu ya nyimbo za bongofleva za zamani Basi nimekutana na ngoma moja Kali ya PASHA hii ngoma inaitwa umeniweza asee jamaa aliimba Sana umu ndani na kwa ufundi wa Hali ya juu Sana asee.

Mwenye kupenda amsikilize hii ngoma Kisha atoe comment zake hii ngoma Ni Kali mno jamaa alikuwa Mbele ya muda Sana Yani ngoma zinazotamba leo kwenye industry jamaa Alishaga zifanya kitambo sana
 
Kwani kuwa na swaga Kama za wakongo ni vibaya mjumbe mwenzangu kama ndo zilimfanya apotee kimziki mbona wakongo wenyewe hawapotei
Kwasasa mziki ni package siyo kuimba tu, ukiimba mziki wa bongo fleva halafu una swaga kama za wakongo watu hawakuelewi. Huoni Christian Bella ameswitch hadi mikato yake ameachana na mikato ya kicongo wabongo wanamwelewa kuliko Nyoshi El Sadat ( Huyu Nyoshi ni kati ya watu ninaowakubali sana kwa life style yake na mapowda)
 
Lakini hii uliyoandika apa Ni according to your point of view au siyo mjumbe mwenzangu?
 
Hapana ndiyo uhalisia, ukitaka jua hilo jiulize kati ya mabinti wanaovuma kuna anayeimba kama ruby? Je kwanini havumi? jibu ni kwamba mziki ni package siyo sauti tu, kuna personality na mambo mengine. Halafu jiulize je diamond ni mkali kuliko wsanii wengine wote? Hili utajijibu mwenyewe.
Ukweli ni kwamba huwezi kuwa msanii unaimba vizuri halafu una mikato ya kikongo labda uwe unaimba sebene maana hapo utakuwa unaendana na mikato ya mziki husika.
 
Sijui nini kiliwapata wasanii kama Maro,Pasha,Qchira,TID,Spark,Matonya,Tundaman nk baada ya bwana dayamondi Dangote kuibuliwa na shatani toka Mbagara

Nahisi atakuwa anawaroga wenzake ili wasipendwe maana haiwezekani mtu kama banana zoro na ile sauti yake nzuri leo hakuna anayemfuatilia
Marlaw na spark ni habari nyingine kabisa,Matonya bado anafurukuta ana mashine inaitwa "kiherehere" na "hakijaeleweka" hizo za moto sana.
 
Hapana ndiyo uhalisia, ukitaka jua hilo jiulize kati ya mabinti wanaovuma kuna anayeimba kama ruby? Je kwanini havumi? jibu ni kwamba mziki ni package siyo sauti tu, kuna personality na mambo mengine. Halafu jiulize je diamond ni mkali kuliko wsanii wengine wote? Hili utajijibu mwenyewe.
Ukweli ni kwamba huwezi kuwa msanii unaimba vizuri halafu una mikato ya kikongo labda uwe unaimba sebene maana hapo utakuwa unaendana na mikato ya mziki husika.
Lakini apa unatusemea watanzania mkuu unatunyima Uhuru wetu wa kuamua mambo tuyatakayo wenyewe mjumbe mwenzangu
 
Mkuu wewe uliposema wimbo ni mkali ulikuwa unawasemea watanzania?
Maoni uwa hayajumuishi watu wote, hivyo mimi nimesema kwa ajili ya wasikilizaji wengi anayebisha huyo yuko katika wachache waliobaki. Ebu nitajie mwimba mziki wa Bongo fleva anayeimba aka hit ahalafu ana swaga za kicongo? Alikiba mwenyewe kamkimbia man walter kisa ma beat ya sebene
 
Mwamba nakuelewa Ila nakuchallenge ili utoe fact zaidi juu ya hii hoja Yako mwanzo ulikuwa umetoa point dhaifu now ndo umekazia kwa kiasi fulani nimeelewa mjumbe mwenzangu hatugombani apa Ni mahala pa burudani mkuu
 
Mimi mwenyewe na kuprovoke ili upanic ila naona bado uko cool
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106] sawa mjumbe mwenzangu
 
Kuna watu humu uwa mabingwa wa kupanic ukiwachokonoa tu wanapanic hadi kutukana,
 
Tuko nae Madangwa huku tunaokota Korosho msimu wake huu.
Nitampa sallamu zenu wakuu.
 
Sijui nini kiliwapata wasanii kama Maro,Pasha,Qchira,TID,Spark,Matonya,Tundaman nk baada ya bwana dayamondi Dangote kuibuliwa na shatani toka Mbagara

Nahisi atakuwa anawaroga wenzake ili wasipendwe maana haiwezekani mtu kama banana zoro na ile sauti yake nzuri leo hakuna anayemfuatilia
Wacha imani potofu.. mziki huenda na muda msanii usipobadilika unaachwa huko tunzi za sasahivi sio za kipindi kile!.. naupenda Sana tu mziki wa zamani huwezi kuwalisha kila siku watu kilekile!

Hata baadhi ya maproduza wameamua kukaa pembeni wameelewa mfano master j alishanena kwa mdomo wake kabisa! Kuna yule mzungu katengeneza ngoma nyingi na zilikuwa hit tu wakati ule mikamwamba alihojiwa kwa kinywa chake alikuri hata Kama akirudi game sahivi lipo tight.. muziki ni trend ukiruba tu kwisha habari yako!.. wasanii wazamani ndio wanaimba Tena Sana tu na mafundi vibaya lkn inafaa wabadilike utunzi,Melody n.k namkubali Sana chid Benz ile kinyama lkn ngoma zake sahivi hata sizikubali! Naona Kama Jamaa kaweuka sauti ishaharibika.. but kidogo kidogo nafurahi anarudi kwenye mstari nashauri atulize wenge asome game achukue biti Kali lililotulia apige kazi iliyotulia na so mikelele tu Melody imekuja hapohapo hata hujaihakiki Basi unakwenda nayo kwakuwa machizi wako wameikubali Basi imepita!. Tafuta watu wakuluchana ukweli hapo ndo itakwenda..

Ngoma ya hold my hand ya Akon na Michael Jackson.. Akon alikoma maana mj alikuwa anaona haijakamilika akawa anamwambia warudie Mara waongeze hichi n.k mpk ilivyopikika ndo ikaachiwa lkn Michael Jackson na hapo alikuwa anaona bado..😅
 
Wacha imani potofu.. mziki huenda na muda msanii usipobadilika unaachwa huko tunzi za sasahivi sio za kipindi kile!.. naupenda Sana tu mziki wa zamani huwezi kuwalisha kila siku watu kilekile!

Hata baadhi ya maproduza wameamua kukaa pembeni wameelewa mfano master j alishanena kwa mdomo wake kabisa! Kuna yule mzungu katengeneza ngoma nyingi na zilikuwa hit tu wakati ule mikamwamba alihojiwa kwa kinywa chake alikuri hata Kama akirudi game sahivi lipo tight.. muziki ni trend ukiruba tu kwisha habari yako!.. wasanii wazamani ndio wanaimba Tena Sana tu na mafundi vibaya lkn inafaa wabadilike utunzi,Melody n.k namkubali Sana chid Benz ile kinyama lkn ngoma zake sahivi hata sizikubali! Naona Kama Jamaa kaweuka sauti ishaharibika.. but kidogo kidogo nafurahi anarudi kwenye mstari nashauri atulize wenge asome game achukue biti Kali lililotulia apige kazi iliyotulia na so mikelele tu Melody imekuja hapohapo hata hujaihakiki Basi unakwenda nayo kwakuwa machizi wako wameikubali Basi imepita!. Tafuta watu wakuluchana ukweli hapo ndo itakwenda..

Ngoma ya hold my hand ya Akon na Michael Jackson.. Akon alikoma maana mj alikuwa anaona haijakamilika akawa anamwambia warudie Mara waongeze hichi n.k mpk ilivyopikika ndo ikaachiwa lkn Michael Jackson na hapo alikuwa anaona bado..[emoji28]
Umenena vyema bingwa kusema ule ukweli
 
Mimi nafikiri sababu ya wasanii wengi wa zamani kuacha muziki, ni sababu ya mfumo usio rasmi kwa stakeholders, media za uongouongo na chuki, presenters hovyo na inawafanya wasanii kuwa na jina lakini haliendani na muziki wanaofanya
 
Daaah jamaa anaimba Sana pasha asee tuache utani maana mshikaji Ni fundi sana nimejaribu kuipandisha hii nyimbo apa lakini naona inagoma kabisa bt mwenye kuweza kuitafute aitafute aisikilize atakuja apa kukiri asee pasha Ni hatari mno NGOMA INAITWA UMENIWEZA

Pasha ni habari nyingine, alafu hiyo Umeniweza hata haikuhit na watu wengi hawaijui!

Ni wachache sana tunaoifahamu, kuna ngoma nyingine inaitwa Warembo nayo ilipita kimya kimya ila ni kali sana!
 
Back
Top Bottom