boga la kiangazi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 504
- 671
Dadekiii kwanza hio HIDAYA afu unakutana na beat matata ya lil ghetto. Dah those were the days
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafanya urafiki na Hbaba mkata viuno unategemea utafika mbali kweli?Kusema ukweli Pasha alikuwa ni msanii mwenye kipaji cha Hali ya juu mno labda Kama hasingekosa manajiment inayojitambua na kufahamu vyema kazi na umuhimu wake kwa msanii PASHA huenda Leo tungekuwa tunaliongelea jina la Pasha katika engo nyingine ambayo ni kubwa mno.
Leo katika kupitia pitia labrary yangu ya nyimbo za bongofleva za zamani Basi nimekutana na ngoma moja Kali ya PASHA hii ngoma inaitwa umeniweza asee jamaa aliimba Sana umu ndani na kwa ufundi wa Hali ya juu Sana asee.
Mwenye kupenda amsikilize hii ngoma Kisha atoe comment zake hii ngoma Ni Kali mno jamaa alikuwa Mbele ya muda Sana Yani ngoma zinazotamba leo kwenye industry jamaa Alishaga zifanya kitambo sana
Huyo ni Mr Niceafu kuna yule jamaa aliimbaga " dar es salaam kuna warembo kibaoo, wengi nimeshakutana nao dah uyu jamaa sijui ndo nani aseee
Hata sio yeye, jina limenitoka tu dah!Huyo ni Mr Nice
Imani potofu, Imani za kutungwa hizo zisizokuwepoSijui nini kiliwapata wasanii kama Maro,Pasha,Qchira,TID,Spark,Matonya,Tundaman nk baada ya bwana dayamondi Dangote kuibuliwa na shatani toka Mbagara
Nahisi atakuwa anawaroga wenzake ili wasipendwe maana haiwezekani mtu kama banana zoro na ile sauti yake nzuri leo hakuna anayemfuatilia
Mkuu, kama una ile Nisoo REMIX iweke humu..Mimi napenda wimbo wake wa namwimbia nadhani ndo wimbo wake wa kwanza na ule najiuliza kitu gani, wimbo wake wa ni soo ulihit sana ila mimi sikwua naupenda.
Tatizo allikuwa mshikaji wake Hbaba ana swaga kama za Hbaba za bamuntu ba kongo.
Ila alikuwa anajua sana
Anapiga mishe za kunyoa saloon
Unapo touch body minashtukaKama pesa hushangai
Gari kwako si thamani
Unaendesha toka zamani
Udanganyike na nini.
Ni soo ndo moja ya ngoma zake kali za muda wote.
Uko vizuri sana mkuuUnapo touch body minashtuka
I love you ma kwangu we malaika.