Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu hawa wasanii walibweta baada ya njaa waliyokuwa nayo kwisha
Muone Harmonize siku hizi anavyoimba atadhania hataki
Kama pesa hushangai
Gari kwako si thamani
Unaendesha toka zamani
Udanganyike na nini.
Ni soo ndo moja ya ngoma zake kali za muda wote.
Hivi kiss fm bado ipo, wazee wa kuongea kizunguEnzi hizo Kiss fm chini ya Dj Jeff Jerry na mtoto wa mama Zakaria miaka ya 2010 wachaaaa!
Uandishi wako tu unaonesha wewe bado mlugaluga;Sijui nini kiliwapata wasanii kama Maro,Pasha,Qchira,TID,Spark,Matonya,Tundaman nk baada ya bwana dayamondi Dangote kuibuliwa na shatani toka Mbagara
Nahisi atakuwa anawaroga wenzake ili wasipendwe maana haiwezekani mtu kama banana zoro na ile sauti yake nzuri leo hakuna anayemfuatilia
Kweli😳?Anapiga mishe za kunyoa saloon
Kweli[emoji15]?
Ipo mkuu kama upo Dar bonyeza 98.1 kiss fmHivi kiss fm bado ipo, wazee wa kuongea kizungu
Hivi kiss fm bado ipo, wazee wa kuongea kizungu
Kabisa mkuu, unajua hawa wasanii wakiwa underground wanakuaga na uchu wa kutoboa sana, mayai yake, maji ya moto yake ili mladi sauti ikae sawa ona sasa akishatoboa nisheeda.Alafu ameanza tabia ya kuongea ongea kwenye nyimbo badala ya kuimba..na tabia za mipasho kila wimbo! Anachokitafuta atakipata sema pona yake ni washabiki maandazi wa hizi team!
ana naul ya kutosha ya kumfikisha mbinguni!!Umenichekesha sana chief.
Sema huyu jamaa ni mkorofi.Inaonekana katoka kuokoka juz tu bado ana moto ule wa kutaman mwisho wa dunia ufike hata leo 😂
dahh yan adi nilikuw nashindwa kuelewa ni wabongo au wambele!!Hivi kiss fm bado ipo, wazee wa kuongea kizungu
Walikuwa vizuri sana enzi hizodahh yan adi nilikuw nashindwa kuelewa ni wabongo au wambele!!
akishindwa kutumia tena busara,tumfanye nn mkuu!!Muda mwingine uwe unatumia busara ndogo tu bwana mjuaji wa kila Jambo
Bwana wee.Mambo ya vijan hawaana naul ya kutosha ya kumfikisha mbinguni!!