Namkumbuka msanii anayeitwa Pasha alikuwa na kipaji cha hali ya juu sana

Yaaah, Ni mtoto kutoka Rahaleo Mtwara Tanzania..
Alikuwa yupo gudy kwenye industry ya mziki Ila mpaka sasa sijafahamu chanzo cha kuacha mziki na wapi yupo
ahaha umenikumbusha Mtepa ,moja kati ya watu wa mwanzo kumiliki satelite dish,huku watu tukikomaa na antenna,full kutubadilishia channels.Kitambo sana
 
Kuna siku utamkumbuka joel lwaga
Usiipende dunia na mambo yake
Kuna jehanum
Naamini uwepo wa mungu muumba wa vyote LAKINI haya mahubiri sasa.unaingia ibadani unatishwa mwanzo mwisho. Yaani hizi dini ni kutishana tu.Faraja ni ndogo sana.Eti ukiwa na hela huendi mbinguni.
 
"...Anaenifanya nikose raha,ndio. .ninaemwimbia,basi kama beibi unanisikiaaa basi,em sogeeeeaaaa.." Pasha enz zake akitembea na mtoto wa RFK angu kikoti ...dah
 
Nyimbo tatu bora toka kwa pasha
  1. Hidaya
  2. Thamani ya penzi
  3. Nisoo
Namkubali sana huyu mchizi sijui kapotea wapi
Yupo Buza pale kanisani, ukishuka kwenye gari tuu unamuona ana bango lake pale anauza
 
Yaaah, Ni mtoto kutoka Rahaleo Mtwara Tanzania..
Alikuwa yupo gudy kwenye industry ya mziki Ila mpaka sasa sijafahamu chanzo cha kuacha mziki na wapi yupo

Yupo Bongo Daslade na anatoa toa ngoma lkn upepo wa wasanii wapya kama kina Tuerny Rose Ndauka na Nishebebe umempoteza vibaya[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…