Namlaumu Rais wa awamu ya kwanza

Namlaumu Rais wa awamu ya kwanza

Kusini na Pwani ni masikini kwa sababu ya laana ya matambiko. Ukijua chimbuko la uchawi wa Mwenge utaelewa kwann kusini ni masikini.
Kusini na Pwani ni masikini kwa sababu ya laana ya matambiko. Ukijua chimbuko la uchawi wa Mwenge utaelewa kwann kusini ni masikini.

Enheeee!!, hebu tuwekee hapa hilo chimbuko la uchawi wa huo mwenge.🤣
 
Habari,
Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania.

Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na wakoloni ili kutukandamiza sisi na vizazi vyetu.

Sera ya ujamaa na Arusha Declaration, hapa Nyerere alibugi balaa sanaa nahisi ndiyo chanzo cha sie Tanzania kuwa masikini kutakana na Sera zake za hovyo kupitiliza. Hii imesababisha hata Watanzania wengi akili zao haziko sawa na wanapenda kufair fair na kupenda mteremko kupita maelezo dadeki.
Chanzo cha mikoa ya Kusini kupoteza mwelekeo hili nitamlaumu hasa na nitendelea kumlaumu mpaka basi hovyo kabisa.

Mdini na udini wa Nyerere, kwangu Nyerere ni mdini sana na chanzo cha kuisunisha maendeleo ya waislamu na hii ilipelekea kuharibika mikoa ya kusini kiuchumi.

Mods msifute hii thread kwa sababu kuna post humu za kumnanga Magufuli na bado mnazipa airtime hii post muiache.
Aliongea kuhusu ubaya wa katiba kwa uwazi hadharani.Hakuishia hapo.Alisema,yeye alikuwa ni binadamu.Kama alitenda mema myafuate na kuyaboresha zaidi.Hakusahau kuasa kwamba,mambo ya kijinga aliyoyatenda muachane nayo.Sasa,kwa kauli hizo bado unamlaumu tu?Chukua hatua.
 
Kipindi anafukuza wazungu, kuna mzungu mmoja alikuwa ndo wa kwanza kutuletea mashine ya kusaga mahindi, mabwawa ya samaki, pia alikuwa na ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa mengi.

Yule mzungu alifia kwenye ndege kwa presha, vitu alivyoviacha viliharibika vyote, waafrika tuna laana.
 
Kale ka babu kametuyumbisha sana kwenye uchumi, elimu na siasa hasa ikichagizwa na ujamaa wake. Kwangu he is no hero, japo upande wa mama yangu ni watu wa Mara na kwa kiasi fulani walinufaika kifursa wakati wa utawala wake.
Watu wa Mara walinufaika na fursa IPI?
 
Kipindi anafukuza wazungu, kuna mzungu mmoja alikuwa ndo wa kwanza kutuletea mashine ya kusaga mahindi, mabwawa ya samaki, pia alikuwa na ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa mengi.

Yule mzungu alifia kwenye ndege kwa presha, vitu alivyoviacha viliharibika vyote, waafrika tuna laana.
Nyerere alifukuza wazungu lini? Unajuwa kwamba secretary wa Nyerere alikuwa mzungu mwingereza?
 
Kitendo cha kufanya Kiswahili kuwa Lugja ya Taifa badala ya English, alibugi sana. Angefanya English Lugha ya Taifa na kutumia juhudi ileile aliyotumia kueneza Kiswahili, naamini Tungekua mbali sana.
Fulsa ni nyingi sana kwenye English kuliko Kiswahili
We ni mshamba na huna maarifa
 
Watu wa Mara walinufaika na fursa IPI?
Sijasema watu wa Mara kwa ujumla wao. nimesema ndugu zangu upande wa mama ambao ni watu wa Mara. We jua hivyo walinufanika na hicho kibabu. Usitake kujua walinufaikaje au aliwapendeleaje hao ndugu zangu.
 
Unatupiga Kamba tu, wasinufaike Watoto wa kuwazaa mwenyewe ndio anufaishe ndugu za mama yako?

Hukuwahi kumjuwa Nyerere, kwake hakukuwa na deal la kupiga naye wala kutowa upendeleo maalum never.
 
Nyerere alikuwa Rais Bomba sana ever! hakuwa na Mapungufu km wengi mnavyo dhania !! hayo mnayo yaona mapungufu yake yalisababishwa na wasaidizi wake kina kolimbwa, msekwa, Jiwe nk!

Sasa wajameni elimu yoooote hii eti bure, Barabara, shule , hosp, kusafiri wajamnei bureeeee!! hivi mnataka nini nyie watu!! semeni tu mleta Mada Mungu kakupiga kofi! lawama kwa Nyerere!

Endelea na shida zako, Nyerere wetu, na, jakaya, Mama yetu tuachie wenyewe! vinginevyo tutakuroga tu usinyanyue hayo madole tena ku type humu!
 
Ndio yakupasa ulete hiyo mada, usitake niamini kwamba umeshikwa na huo "uchawi" wa mwenge ndio maana unashindwa kuleta hiyo mada.🤣
Mbona mada za mwenge zipo nyingi Sana ukisearch hata google utashiba madini.
 
Unatupiga Kamba tu, wasinufaike Watoto wa kuwazaa mwenyewe ndio anufaishe ndugu za mama yako?

Hukuwahi kumjuwa Nyerere, kwake hakukuwa na deal la kupiga naye wala kutowa upendeleo maalum never.
Kaa hivyohivyo mmatumbi mjuaji.
Endelea kumuabudu na kumsifu saint wako kwa kudhani ni msaaafi. Pimbi kweli. Kwahiyo kama mtu hakusaidia familia yake inamaanisha hawezi kusaidia wasio watoto wake? Pimbi kweli.
 
Nyerere alikuwa Rais Bomba sana ever! hakuwa na Mapungufu km wengi mnavyo dhania !! hayo mnayo yaona mapungufu yake yalisababishwa na wasaidizi wake kina kolimbwa, msekwa, Jiwe nk!

Sasa wajameni elimu yoooote hii eti bure, Barabara, shule , hosp, kusafiri wajamnei bureeeee!! hivi mnataka nini nyie watu!! semeni tu mleta Mada Mungu kakupiga kofi! lawama kwa Nyerere!

Endelea na shida zako, Nyerere wetu, na, jakaya, Mama yetu tuachie wenyewe! vinginevyo tutakuroga tu usinyanyue hayo madole tena ku type humu!
-kufukuza wazungu

-muungano

-lugha ya kiswahili
 
Ni kweli lakini tukibaki na tabia ya kulaumu laumu tu wale watu ambao hawatarudi kamwe toka huko walopo itakuwa ni sawasawa na bure tu. !! Wazungu wanasemaga the past has gone forget it, the future hasn’t arrived to hell with it, the future is here use it to the maximums!! Yote aliyokosea yanarekebishika bila wasiwasi wowote kinachotakiwa ni utashi tu Mkuu !!
The present is here use it to the maximum. !! Kila kitu kinawezekana ni utashi tu unaokosekana. !!
 
Kipindi anafukuza wazungu, kuna mzungu mmoja alikuwa ndo wa kwanza kutuletea mashine ya kusaga mahindi, mabwawa ya samaki, pia alikuwa na ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa mengi.

Yule mzungu alifia kwenye ndege kwa presha, vitu alivyoviacha viliharibika vyote, waafrika tuna laana.
Nyerere hajafukuza mtu yeyote. !!
 
Back
Top Bottom