Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisahuyo mzee alikua ovyo sana, sitaki hata kumsikia. Yeye ndio alietufikisha hapa tulipo. hii mizizo mizito ya CCM na matawi yake Policcm, JWTZCCM, na Tissccm yeye ndio mfalme wao.
Msajili wa majumba !! Plus plusUnajua kitu kinaitwa UTAIFISHAJI
Ndio maana mchangiaji mmoja ameuliza ikiwa Baba yetu hakutujengea nyumba na sasa sisi wanawe tumeshafikia umri wa miaka 60 bado tunasubiri aje atujengee ?!Nyerere hawezi kukwepa lawama. Maana alijua kabisa hii ni mbovu na haifai. Ila aliacha tu iendelee kutumika wakati alikuwa na uwezo wa kushawishi ibadilishwe. Chanzo cha shida zetu ni ccm. Wao ccm wanazidumisha na kuziendeleza
PointNdio maana mchangiaji mmoja ameuliza ikiwa Baba yetu hakutujengea nyumba na sasa sisi wanawe tumeshafikia umri wa miaka 60 bado tunasubiri aje atujengee ?!
Swali, tutatokaje hapa?. Au tumekubali kwamba akili zetu zimedumaa. Nyerere ana hotuba nyingi sana ambazo zimechapishwa. Ukigooogle utazipata kama huna muda wa kwenda maktaba. Isitoshe, alituasa kwamba mazuri yake tuyaendeleze/tuyaboreshe kama taifa lakini mabovu tuachane nayo. Kama tunafanya hivyo tujipongeze.huyo mzee alikua ovyo sana, sitaki hata kumsikia. Yeye ndio alietufikisha hapa tulipo. hii mizizo mizito ya CCM na matawi yake Policcm, JWTZCCM, na Tissccm yeye ndio mfalme wao.
Kijana inabidi ufe, na uzaliwe 1950, ili uelewe mambo ya nyakati.Habari,
Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania.
Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na wakoloni ili kutukandamiza sisi na vizazi vyetu.
Sera ya ujamaa na Arusha Declaration, hapa Nyerere alibugi balaa sanaa nahisi ndiyo chanzo cha sie Tanzania kuwa masikini kutakana na Sera zake za hovyo kupitiliza. Hii imesababisha hata Watanzania wengi akili zao haziko sawa na wanapenda kufair fair na kupenda mteremko kupita maelezo dadeki.
Chanzo cha mikoa ya Kusini kupoteza mwelekeo hili nitamlaumu hasa na nitendelea kumlaumu mpaka basi hovyo kabisa.
Mdini na udini wa Nyerere, kwangu Nyerere ni mdini sana na chanzo cha kuisunisha maendeleo ya waislamu na hii ilipelekea kuharibika mikoa ya kusini kiuchumi.
Mods msifute hii thread kwa sababu kuna post humu za kumnanga Magufuli na bado mnazipa airtime hii post muiache.
Ninyi watu wa butiama siwaambi kitu kwa Nyerere.Kijana inabidi ufe, na uzaliwe 1950, ili uelewe mambo ya nyakati.
Rubish! King hassan Wa pili wa Morocco mbona alifanya ya maana? J.j rawlings je?Swali, tutatokaje hapa?. Au tumekubali kwamba akili zetu zimedumaa. Nyerere ana hotuba nyingi sana ambazo zimechapishwa. Ukigooogle utavipata kama huna muda wa kwenda mkataba. Isitoshe, alituasa kwamba mazuri yake tiyaendeleze/tuyaboreshe kama taifa lakini mabovu tuachane nayo. Kama tunafanya hivyo tujipongeze.
Kumba huyu mtoa mada lumumbashi anamlaumu mzee wa watu pasimo kujua kama anachomlaumu nacho mzee wa watu ni sahihi.Elimu, elimu, elimu.
Katiba tuliyonayo ni ya mwaka 1977 na waandishi wake wapo Mwenyekiti alikuwa Pius Msekwa na Tanzania ilikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja.
Wewe ndio mdini badala ya kumlaumu Alhaji Ally Hassani Mwinyi kwa kurudisha mfumo wa vyama vingi bila kuandika katiba mpya.
Unawadharirisha waislamu wenzako kwa kuwa na akili ndogo kiasi hiki.
Watu wa butiama oyeeeKumba huyu mtoa mada lubumbashi anamlaumu mzee wa watu pasimo kujua kama anachomlaumu nacho mzee wa watu ni sahihi.
Hii thread ya kiwango cha chini kabisa. Unamlaumu Nyerere kwa kitu gani wakati katika miaka 61 ya uhuhu kakaa miaka 25 tu.Habari,
Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania.
Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na wakoloni ili kutukandamiza sisi na vizazi vyetu.
Sera ya ujamaa na Arusha Declaration, hapa Nyerere alibugi balaa sanaa nahisi ndiyo chanzo cha sie Tanzania kuwa masikini kutakana na Sera zake za hovyo kupitiliza. Hii imesababisha hata Watanzania wengi akili zao haziko sawa na wanapenda kufair fair na kupenda mteremko kupita maelezo dadeki.
Chanzo cha mikoa ya Kusini kupoteza mwelekeo hili nitamlaumu hasa na nitendelea kumlaumu mpaka basi hovyo kabisa.
Mdini na udini wa Nyerere, kwangu Nyerere ni mdini sana na chanzo cha kuisunisha maendeleo ya waislamu na hii ilipelekea kuharibika mikoa ya kusini kiuchumi.
Mods msifute hii thread kwa sababu kuna post humu za kumnanga Magufuli na bado mnazipa airtime hii post muiache.
Swali, tutatokaje hapa?. Au tumekubali kwamba akili zetu zimedumaa. Nyerere ana hotuba nyingi sana ambazo zimechapishwa. Ukigooogle utazipata kama huna muda wa kwenda maktaba. Isitoshe, alituasa kwamba mazuri yake tuyaendeleze/tuyaboreshe kama taifa lakini mabovu tuachane nayo. Kama tunafanya hivyo tujipongeze.
Miaka 25 kwahiyo ni michache? Mandela amekaa almost miaka michache but angalia South AfricaHii thread ya kiwango cha chini kabisa. Unamlaumu Nyerere kwa kitu gani wakati katika miaka 61 ya uhuhu kakaa miaka 25 tu.
Na kabla hajastaafu alikwisha waambia kuwa ile Katiba ni mbovu, kwa nini Marais 5 waliokuja hawajabadili?
Nitamkosoa Nyerere overall period of my lifehatuhitaji nasaha zake kwenye kujikomboa. alikua ni mnafiki sana, wakai huo aliokua akitoa hutuba kama hizo behind scene alikua akiendelea kutenda mabaya mengine.
1995 CCM walishararuliwa vibaya sana kwenye uchguzi mkuu kule zanzibar, ni yeye aliesamamia mpaka matokeo yakapinduliwa.
Duh sijui uwezo wako wa kufikiri ukoje. Pengine unaelekeza lawama zako kwa wrong people. Unaweza Kuta wa kuwalaumu ni wazazi wako kwa DNA dhaifu au kwa kutokupa shule nzuri.Miaka 25 kwahiyo ni michache? Mandela amekaa almost miaka michache but angalia South Africa
Huyu ni wa kupuuza tu. Tunapoteza muda kubishana na mtu asiyejitambua.Duh sijui uwezo wako wa kufikiri ukoje. Pengine unaelekeza lawama zako kwa wrong people. Unaweza Kuta wa kuwalaumu ni wazazi wako kwa DNA dhaifu au kwa kutokupa shule nzuri.
Mfano wa Mandela kukaa miaka 25 jela ni irrelevant na Nyerere kuwa Rais kwa same number of years
Ulivyomalizia nimecheka sana, kwamba nani vs nani?Sifa za kijinga, anahutubia lisaa na nusu hana hata kipande cha karatasi mkononi, akaonekana ana akili nyingi, kumbe ni upuuzi wa hali ya juu leo utagundua kumbe alikuwa anatuzamisha kwenye bwawa la ujinga/umasikini, na vicheko vyake vya kulazimisha, matokeo yake ndo haya.. Elimu hakuna na hata wale waliosoma wengi wao wajinga.... angalia mataifa makubwa raisi hotuba zote zimetayarishwa na wataalamu husika, hadi vizazi wanazikuta... katunyima elimu ili atutawale matokeo yake kajikuta anatawala "MAFISI" uoga kujipendekeza, unafiki + Umajaliwa vs Precision air...