Kwanini yeye hakuibadili alipokuwa Rais na kuwasukumizia wenzie ambao wangefata?Hii thread ya kiwango cha chini kabisa. Unamlaumu Nyerere kwa kitu gani wakati katika miaka 61 ya uhuhu kakaa miaka 25 tu.
Na kabla hajastaafu alikwisha waambia kuwa ile Katiba ni mbovu, kwa nini Marais 5 waliokuja hawajabadili?