Namlaumu Rais wa awamu ya kwanza

Kusini na Pwani ni masikini kwa sababu ya laana ya matambiko. Ukijua chimbuko la uchawi wa Mwenge utaelewa kwann kusini ni masikini.
Kusini na Pwani ni masikini kwa sababu ya laana ya matambiko. Ukijua chimbuko la uchawi wa Mwenge utaelewa kwann kusini ni masikini.

Enheeee!!, hebu tuwekee hapa hilo chimbuko la uchawi wa huo mwenge.🤣
 
Aliongea kuhusu ubaya wa katiba kwa uwazi hadharani.Hakuishia hapo.Alisema,yeye alikuwa ni binadamu.Kama alitenda mema myafuate na kuyaboresha zaidi.Hakusahau kuasa kwamba,mambo ya kijinga aliyoyatenda muachane nayo.Sasa,kwa kauli hizo bado unamlaumu tu?Chukua hatua.
 
Kipindi anafukuza wazungu, kuna mzungu mmoja alikuwa ndo wa kwanza kutuletea mashine ya kusaga mahindi, mabwawa ya samaki, pia alikuwa na ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa mengi.

Yule mzungu alifia kwenye ndege kwa presha, vitu alivyoviacha viliharibika vyote, waafrika tuna laana.
 
Kale ka babu kametuyumbisha sana kwenye uchumi, elimu na siasa hasa ikichagizwa na ujamaa wake. Kwangu he is no hero, japo upande wa mama yangu ni watu wa Mara na kwa kiasi fulani walinufaika kifursa wakati wa utawala wake.
Watu wa Mara walinufaika na fursa IPI?
 
Nyerere alifukuza wazungu lini? Unajuwa kwamba secretary wa Nyerere alikuwa mzungu mwingereza?
 
We ni mshamba na huna maarifa
 
Watu wa Mara walinufaika na fursa IPI?
Sijasema watu wa Mara kwa ujumla wao. nimesema ndugu zangu upande wa mama ambao ni watu wa Mara. We jua hivyo walinufanika na hicho kibabu. Usitake kujua walinufaikaje au aliwapendeleaje hao ndugu zangu.
 
Unatupiga Kamba tu, wasinufaike Watoto wa kuwazaa mwenyewe ndio anufaishe ndugu za mama yako?

Hukuwahi kumjuwa Nyerere, kwake hakukuwa na deal la kupiga naye wala kutowa upendeleo maalum never.
 
Nyerere alikuwa Rais Bomba sana ever! hakuwa na Mapungufu km wengi mnavyo dhania !! hayo mnayo yaona mapungufu yake yalisababishwa na wasaidizi wake kina kolimbwa, msekwa, Jiwe nk!

Sasa wajameni elimu yoooote hii eti bure, Barabara, shule , hosp, kusafiri wajamnei bureeeee!! hivi mnataka nini nyie watu!! semeni tu mleta Mada Mungu kakupiga kofi! lawama kwa Nyerere!

Endelea na shida zako, Nyerere wetu, na, jakaya, Mama yetu tuachie wenyewe! vinginevyo tutakuroga tu usinyanyue hayo madole tena ku type humu!
 
Ndio yakupasa ulete hiyo mada, usitake niamini kwamba umeshikwa na huo "uchawi" wa mwenge ndio maana unashindwa kuleta hiyo mada.🤣
Mbona mada za mwenge zipo nyingi Sana ukisearch hata google utashiba madini.
 
Unatupiga Kamba tu, wasinufaike Watoto wa kuwazaa mwenyewe ndio anufaishe ndugu za mama yako?

Hukuwahi kumjuwa Nyerere, kwake hakukuwa na deal la kupiga naye wala kutowa upendeleo maalum never.
Kaa hivyohivyo mmatumbi mjuaji.
Endelea kumuabudu na kumsifu saint wako kwa kudhani ni msaaafi. Pimbi kweli. Kwahiyo kama mtu hakusaidia familia yake inamaanisha hawezi kusaidia wasio watoto wake? Pimbi kweli.
 
-kufukuza wazungu

-muungano

-lugha ya kiswahili
 
The present is here use it to the maximum. !! Kila kitu kinawezekana ni utashi tu unaokosekana. !!
 
Nyerere hajafukuza mtu yeyote. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…