A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 14,830 Reaction score 14,472 Nov 28, 2022 #81 Stuxnet said: Hii thread ya kiwango cha chini kabisa. Unamlaumu Nyerere kwa kitu gani wakati katika miaka 61 ya uhuhu kakaa miaka 25 tu. Na kabla hajastaafu alikwisha waambia kuwa ile Katiba ni mbovu, kwa nini Marais 5 waliokuja hawajabadili? Click to expand... Kwanini yeye hakuibadili alipokuwa Rais na kuwasukumizia wenzie ambao wangefata?
Stuxnet said: Hii thread ya kiwango cha chini kabisa. Unamlaumu Nyerere kwa kitu gani wakati katika miaka 61 ya uhuhu kakaa miaka 25 tu. Na kabla hajastaafu alikwisha waambia kuwa ile Katiba ni mbovu, kwa nini Marais 5 waliokuja hawajabadili? Click to expand... Kwanini yeye hakuibadili alipokuwa Rais na kuwasukumizia wenzie ambao wangefata?
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Nov 28, 2022 #82 Kuishi kwa kumlaumu marehemu ni kupoteza muda! Zaidi ni kudhibitisha kuwa wewe unaye endelea kuishi si bora na huna uwezo wa kuleta mabadiliko zaidi ya alichofanya marehemu! He served his purpose during his watch. Serve yours during your watch!
Kuishi kwa kumlaumu marehemu ni kupoteza muda! Zaidi ni kudhibitisha kuwa wewe unaye endelea kuishi si bora na huna uwezo wa kuleta mabadiliko zaidi ya alichofanya marehemu! He served his purpose during his watch. Serve yours during your watch!