Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?



Dereva wa lile gari inasemekana alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
 
Eee bima tu ya hiyo gari kwa mwaka ni zaidi ya kiinua mgongo cha huyo traffic kwa miaka yake 34 kazini.😁

Anapiga mkono kukagua sticker ya 8000! kwenye gari la 2B.

Ndiyo maana hatukuwahi kumsikia Mully kuhusu hatua zilizochukuliwa na polisi kwa huyo dereva tofauti na yule wa STL aliyefutiwa leseni kwa kosa hilihili.
 
Hiyo chuma ina bima ya Mil 55… Bima tu Million Hamsini na Tano..

IMG_2047.png


Hafu mtu unataka kusimamisha uulizie triangle na fire extinguisher.
 
iezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
Acha hao police waisome namba
 
Trafiki siku zote anamuonea dereva asiye na mamlaka tu. Akikutana naye huyo, atamsumbua mpaka basi! Atachukua rushwa, na kama siku hiyo ameshiba sana atamuandikia faini hata kwa kosa la kutoa tu onyo/ushauri.
Traffic atakusumbua ukiwa legelege..ila kama uko kamili
Unajiamini huna kosa unaruka naye tu,mkuu
Sema wengine wanakutanaga na aibu kutoka kwa wake,watoto wa wakubwa

Ova
 
iezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
Traffic police labda hakujua maskini.Ila soon wataaibika🤔
 
Back
Top Bottom