Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

Ukiwa na gari ya hela unakua Huna jinsi zaidi ya kupaki namna hii, ukiweka parking moja kuna wale wapuuzi wakipaki wakifungua milango inaenda kujigonga gari ya pembeni.

Hii nilijifunza kwa washkaji fulani walikua wanasumbua sana mitaani na mabenzi yao yenye namba za marekani miaka fulani nyuma hapo.

Nilikua nikiwakuta ile hotel ya double tree unakuta kapaki mshazari, tofauti na wengine,(unakuta chombo inachukua mpaka parking 3)
Hapo kwenye kuchubuliwa milango aisee inauma
 
Hapo kwenye kuchubuliwa milango aisee inauma
Kuna siku nilikuta moja ya hao jamaa wa mabenzi anamgombeza mlinzi.

Baada ya kuona mchizi amekuja na benz yake, na kupaki mshazari(parking 3) ikabidi aanze kumuelekeza, jamaa akawa anamuuliza mlinzi, nikipaki kawaida, wakaja watu kukwaruza milango utanilipa?

Hao jamaa walikua maarufu sana hapa bongo, walikua wanaongozana kama wa 4 hivi kila mtu na benzi lake, walishawahi kuanzishiwa uzi humu
 
iezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
Mbona anafuatiliwa sana? Sitashangaa nikisikia ametekwa.
Awe makini na kikosi cha Balozi mstaafu.
 
Sheria ukisimamishwa lazima usimame hata ukiendesha gari la b5..ila kwa tz ndiyo unaweza leta dharau hizo maana kuna watu wako juu ya sheria

Ova
Sio lazima uwe juu ya sheria, pesa ukiwa nayo kuna watu utawapita na sheria zao. Kwa mfano ushakuwa kwenye dili za m50 per month kweli uje usumbuliwe na polisi, sijui mgambo sijui traffic.

Bro kwa hyo cash yako unakaa na RPC wa mkoa wowote unakaa na mkuu wa kitengo TRA mkoa uliopo ya nini kujihangaisha na hao wapauka vumbi. Halafu sio Tz tu hii kitu ni Africa nzima kuna nchi naishi huku ni hvyohvyo tu.
 
Sheria ukisimamishwa lazima usimame hata ukiendesha gari la b5..ila kwa tz ndiyo unaweza leta dharau hizo maana kuna watu wako juu ya sheria

Ova
Na watu wengi wanaona sawa tu wengine kuwa juu ya sheria. Bila kujali nani anaendesha au anaendeshwa alipaswa kumsikiliza afande.

Amandla...
 
iezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
Mpiga picha ukamatwe halaka sana.. kuna kitu umepanga kuchafua jina la Abdul!!! Wewe ulipiga picha na Traffic kuna kitu mlikusudia kufikisha kwenye Jamii !!!!

moja ulijuaje kama uyo Dogo anaekuja na kuanza kuchukua picha ni Abdul ¿¿¿

Umefanya jambo baya Traffic kaonekana ww mchukua picha Umejificha.. lengo lako nini kwa uyo Dada Traffic 😬😬😬
 
Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
We kima unamfahamu Abdul? Thamani ya hiyo gari umeijuaje fukara km wewe? We ni mbwa koko ht ujinyee hautabadilisha chochote
 
Gharama za Bima ni mishahara ya miaka 50 ya huyo askari ijumlishwe.
Kumbe wa Unguja wakipata wana dharau kinoma.
 
Nawe ni zombie, mpumbavu moja azushe upuuzi nawe unaingia mzima mzima, shame on you. Roho zinawauma nyie maskini lakini hamtabadilisha kt hiyo ni familia iliyobarikiwa, we na ukoo wako mtaendelea na ufukara wenu
 
Mwanaume umekuwa kama binti kufatilia maisha ya watu
Maskini bwana, kwanza huo wote ni uzushi, hamfahamu mtoto wa watu ht kwa sura achilia mbali gari lake na thamani yake. Kwa hii mitandao mtu anaweza kudowload chochote akamzushia mtu au akatengeneza kwa AI. Hao maskini wana laana ni wa kupuuzwa mbwa hao.
 
Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
Sijamuona huyo mtoto hapo

Au kunq special lens mnayotumia kuona aliye ndani ya gari?
 
Back
Top Bottom