Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

Angeondolewa Road angeenda kupangiwa benki kulinda 😄
We tangu hiyo incident itoke uliwahi ona au sikia hyo gari inatafutwa mmiliki wake 😄
Ukiona kimya jua wazee waliogopa,ila ingekuwa,ya mwenzangu na mimi shuguli Angelina

Ova
 
iezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.
Wapitwe tu!
 
Huyo ata parking tu anachukua park mbili mbili ili msimchubue;
IMG_2048.jpeg
 
kwamba bidada alikuwa anataka kuokota kwa tajiri
 
Sasa hapa ndio nimeelewa kuna kipindi niliona hiyo clip nilijiskia vibaya sana sio Kila kitu Cha kudharau na haipaswi kudharau mtu mwingine Kwa sababu ya nafasi zetu iwe ni gari ya billion 10 au gari ya laki tano zote zinatumia barabara Moja .... Sasa kazi ya traffic ni ipi ?? Pengine unasimamishwa kupewa tahadhari kua mbele kuna hatari??

Huu ujinga tunafanyiana tu sisi huku tukifika nchi za watu tunafuata Sheria zote bila kuangalia nafasi zetu
 
iezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama.

Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

View attachment 3453819

Dereva wa lile gari alikuwa Abdul mtoto wa Rais Samia, juzi limepigwa picha akiwa Airport ya Julius Nyerere Terminal 3 akiwa anaelekea DUBAI.

View: https://www.facebook.com/share/v/15yCfRLbh6/
 
Eee bima tu ya hiyo gari kwa mwaka ni zaidi ya kiinua mgongo cha huyo traffic kwa miaka yake 34 kazini.😁

Anapiga mkono kukagua sticker ya 8000! kwenye gari la 2B.

Ndiyo maana hatukuwahi kumsikia Mully kuhusu hatua zilizochukuliwa na polisi kwa huyo dereva tofauti na yule wa STL aliyefutiwa leseni kwa kosa hilihili.
😂😂😂 daah kwahiyo mkuu hapo mwenye dharau ni trafiki sio dereva??
 
Wakati wake huu,hata wakina kinje enzi zao waliwajibu sana sht maaskari 😄
Nchi za kiafrika watoto wa wakubwa ndivyo walivyo

Ova
Sisi ndio tunawaona maaskari ila wao wanaona n ma akwwii(walinzi wa magetini arusha wanaitwa ivyo).
 
Huyo ata parking tu anachukua park mbili mbili ili msimchubue;
View attachment 3453874
Ukiwa na gari ya hela unakua Huna jinsi zaidi ya kupaki namna hii, ukiweka parking moja kuna wale wapuuzi wakipaki wakifungua milango inaenda kujigonga gari ya pembeni.

Hii nilijifunza kwa washkaji fulani walikua wanasumbua sana mitaani na mabenzi yao yenye namba za marekani miaka fulani nyuma hapo.

Nilikua nikiwakuta ile hotel ya double tree unakuta kapaki mshazari, tofauti na wengine,(unakuta chombo inachukua mpaka parking 3)
 
Back
Top Bottom