kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji.
Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto anaeweza kutumia mdomo wake kunguruma kama gari na kunyonga miikono yake kama anazunguusha usukukani kukata kona.
Uzalendo unafumdishwa utotoni kabisa kwenye madarasa ya awali ya chekechea, dararasa la kwanza, pili na tatu zaidi na kuendelea darasa la nne na Tano. Huwezi kufundiahwa kuwa na uzalendo ukubwani.
Uzalendo unajengwa kwa kuimba nyimbo za kizalendo saaana, kusimuliwa hadithi za kizalendo, kucheza (dance) nyimbo za kizalendo, kuzungumza lugha ya taifa, na kula vyakula vya utamaduni wa mtototo kwenye umri mdogo wa kuanzia chekechea hadi darasa la tatu.
Madarasa ya nne na Tano wanaendelea kujifunza uzalendo pamoja na kufundiahwa sana usalama wa nchi, mipaka ya nchi, na Kodi na kazi ya Kodi.
Shule zoooote kwenye taifa husika lazima motaala yao iseme hivyo na wanafunzi wafanye hivyo. Badala ya watoto kuimba nyimbo za mabata wadogo na za kizungu waimbe zile nyimbo za Tazama ramani, Tanzania Tanzania, Naapa naahidi mbele ya Mungu na kucheza zaidi nyimbo za makabila yao na kuzungumza kiswahili sana.
Ukienda India hakuna asiyefahamu kihindi na asiyejua kucheza kihindi kwakuwa mitaala yao inaagiza hivyo bila kujali unasoma shule gani.
Madara ya awali na msingi ndiyo yawe maalumu kwa kujenga uzalendo wa taifa kuliko kitu chochote. Muda wa kujenga uzalendo uwe mwingi zaidi kwenye ngazi hizi .
Watoto wanaotoka shule za binafsi uzalendo wao ni mdogo sana kuliko waliosoma shule za umma., Hiyo ndiyo hypothesis yangu ambayo viongozi wa nchi wanatakiwa ku test kama ni kweli au uongo.