Namna China ilivyoweza kujiendeleza, Tanzania tuna yapi ya kujifunza?

Mkuu nime zungumzia kipengele moja wapo kati ya vipengele vinne vya usasa vilivyo tambulishwa na Deng Xiaoping katika mkutano wa chama cha kikomunisti baada ya yeye kushika hatamu.

Vipengele hivyo alivyo taja vilikuwa vinne:-
i, Viwanda
ii, Ulinzi
iii, Kilimo
iv, Elimu[ sayansi na teknolojia ]

Mimi sasa nime zungumzia kipengele cha nne hasa hasa mchango wa elimu ya ng'ambo walio pata wachina walio enda kusomeshwa na serikali wakati wa utekelekaji wa sera ya mageuzi na ufunguzi mkubwa miaka ya 1970s.

Hivyo vipengele vitatu vilivyo baki navyo nita vielezea kimoja baada ya kingine, lakini hatupaswi kupuuza mchango wa elimu ya ng'ambo katika kukuza maendeleo ya haraka ya uchina.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi huu.
 
Tulipata kiongozi wa kutufikisha mbali tukamtupia mawe ya lawama hadi MUNGU kamchukua. Sasa sijui mnatakaje enyi majuha watanzania.
Mikakati ipi serikali imeweka juu ya hili suala nililo lizungumzia hapa ?
 
Tuwe na sera za kitaifa za muda mfupi na mrefu na si sera za vyama vya siasa. Chama kikishashinda uchaguzi kitakuta sera zipo tayari kwa utekelezaji, chama kitakachoshindwa kutekeleza kinapigwa chini kinaingia kingine.
Sera za kitaifa za muda mrefu na muda mfupi kuhusu hili suala ni jambo la muhimu sana.
 
Kweli uongozi mbovu unachangia sana suala hili kuto kuleta matunda hapa nchini.
 
Hakuna maendeleo yeyeto nchi yeyeto duniani bila kumshirikisha Mzungu
 
Aiseeh
 
Inategemea kama watu wetu hao wakipelekwa nje, je watakuwa ni wenye akili kiasi sawa na Wachina au lah...
 
Kwetu wakipelekwa wanazamia na kuchana passport kabisa na majina wanabadilisha ili wasirudi Tz...😂
Wa bongo tulivyo wabinasfi, tukipata hizo nafasi tunahamishia na familia zetu kabisa ughaibuni..🤣
Hata China siyo wote walirejea nyumbani. Wapo waliogomea ughaibuni hadi leo. Lakini majority walirudi. Na sisi tupeleke wengi sana. Mfano Serikali ipeleke wanafunzi 15,000 Ulaya na USA kwenye vyuo bora kabisa mfululizo kwa walau miaka 30 utaona matokeo yake.

Tena nasisitiza wapelekwe Ulaya au North America (USA & Canada). Wasiende China maana kule hamna elimu wanagawa vyeti tu kwa wanafunzi wetu
 
Inategemea kama watu wetu hao wakipelekwa nje, je watakuwa ni wenye akili kiasi sawa na Wachina au lah...
Nadhani tuna hitaji falsafa bora ya kimalezi ya kumjenga mtu kuwa bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…