BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,846
- Thread starter
- #21
Sahihi kabisa, Yesu Kristo ni njia ya Mbunguni, kwa maani Waislamu hawamwabudu Yesu wala hawamuoni kuwa ni mungu, bali wanaamini kwamba alikuwa nabii au mjumbe wa Mungu na anaitwa Masihi katika Qur'an. Hata hivyo, kwa kumthibitisha Yesu kuwa Masihi tunathibitisha ujumbe wake wa kimasiya, si utume wake akiwa Kristo wa mbinguni bali ni utume aliopewa na MUNGU, Hivyo basi YESU KRISTO ni njia ya kufika mbinguni. Kwa maana yeye ni mjumbe wa MUNGU. Nasisi pia waislamu tunaamini yale aliyoteremshiwa ambayo ni INJILI.Njia ya Mbinguni ni Yesu Kicbwa kisikuume kiongozi