BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,846
- Thread starter
-
- #21
Sahihi kabisa, Yesu Kristo ni njia ya Mbunguni, kwa maani Waislamu hawamwabudu Yesu wala hawamuoni kuwa ni mungu, bali wanaamini kwamba alikuwa nabii au mjumbe wa Mungu na anaitwa Masihi katika Qur'an. Hata hivyo, kwa kumthibitisha Yesu kuwa Masihi tunathibitisha ujumbe wake wa kimasiya, si utume wake akiwa Kristo wa mbinguni bali ni utume aliopewa na MUNGU, Hivyo basi YESU KRISTO ni njia ya kufika mbinguni. Kwa maana yeye ni mjumbe wa MUNGU. Nasisi pia waislamu tunaamini yale aliyoteremshiwa ambayo ni INJILI.Njia ya Mbinguni ni Yesu Kicbwa kisikuume kiongozi
Imani yako isiwe kero kwa wengine,mda wa ibada unafahamika kwann lazima ujulishwe,Lakini awajazuiwa kufanya ibada au misikiti kubomelewa.Sio kweli,wakristo ndio wanaongoza kuzuia,hata adhana tu hawataki kuisikia
Ulisemalo ni ukweli ndugu, ntachukulia mfano Saudi Arabia kama nchi kubwa ya kiarabu, inaaminika kuwa kuna takriban Wakristo milioni 1.8 nchini Saudi Arabia. Wakristo nchini Saudi Arabia wanaripotiwa kukabiliwa na ubaguzi mkubwa, wakiwemo Wakristo wazaliwa wa kigeni na waongofu asilia. Kitu ambacho unapaswa kujifunza hapa ni kwamba nchi hii ni nchi ya kifalme, ispokuwa joho la uislamu umeifunika lakini kwa hakika hii ni nchi inayo ongozwa kiflame, kwa hivyo kuna mambo ambayo ni hovyo yanaweza kufanywa na serekali ya kiflame lakini watu wakauzingizia uislamu, kwakuwa majority ni waislamu. Kwa hivyo hayo ni mambo ya kisiasa na wala si katika diniLakini kwann amruhusu imani zingine zije zishindane na uislamu.
Mfano uarabuni huwezi ukaeneza uKristo kichwa chako ni halali yako.
Lakini ulaya ni ruksa we eneza uislamu tani yako
AhsanteAmwaminie mwana (Yesu) anao uzima
Myahudi kwanza na myunani pia
Sisi mataifa njia yetu ni Yesu tu maana hakuna wokovu kwa mtumwinine awaye yoyote kiongozi
Mwaka 2012 lilitokea sakata la watoto wadogo kubishana na baadae mmoja kuukojolea Msahafu. ikiwa Uislam ni dini vumilivu, kwanini mikurupuka na kuvunja madirisha ya kanisa na kuiba vyombo vya mziki kanisani?!Uislamu umefundisha uvumilivu kwa dini zingine, kati ya mambo ya msingi yanayo fundishwa na uwislamu ni kuvumiliana na kufundishwa kuamini uzuri na ubaya wa jambo linalotendwa na imani nyingine. Kwa hiyo, Uislamu mara nyingi huwafundisha wafuasi wake kuwa wasamehevu katika maisha ya dini nyingine, tabia ya kusamehe ya akili tukufu na ubinadamu na kuheshimu haki za wengine. Uislamu ndio dini pekee inayo amini katika m
Unalipwaje?Hata kama mtu hajasilimu lakini ukampelekea ujumbe wa Uislamu, unalipwa na Mwenyezi Mungu kwa hilo.
Furaha inatokana Na Nini?Hakuna faida tunayo pata zaidi ya kufurahi watu kuingia katika kheri na haki. Furaha iliyoje hii
Unauliza swali la kitoto. Jibu nishatoa tayari.Furaha inatokana Na Nini?
Hutaki bikra 72 na pombe wewe hujui Mungu wao anajenga gesti na bar huko juu?Waislam wakiongezeka wewe unapata faida Gani?
Sawa...Sasa wengine wakipata bikra Mimi nafaidika Nini?Hutaki bikra 72 na pombe wewe hujui Mungu wao anajenga gesti na bar huko juu?
Wewe umesema unafurahia ila hujasema unafurahi kwann..Kwan watu wengine wakiingia katika kheri Na Haki wewe unafaidika Nini?Unauliza swali la kitoto. Jibu nishatoa tayari.
Swali lako kwanza ndiyo jibu la swali hili unalo uliza hapa. Ongeza umakini kijana.Wewe umesema unafurahia ila hujasema unafurahi kwann..Kwan watu wengine wakiingia katika kheri Na Haki wewe unafaidika Nini?
CSawa...Sasa wengine wakipata bikra Mimi nafaidika Nini?
na wewe unapewa 72 c ndio kaz ya Mungu wenu sheikhSawa...Sasa wengine wakipata bikra Mimi nafaidika Nini?
Zilongwa mbali, zitendwa mbali. Kwahiyo tuseme kule Zanzibar hayo uliyoyasema wao huwa hawajifunzi katika dini yao?Uislamu umefundisha uvumilivu kwa dini zingine, kati ya mambo ya msingi yanayo fundishwa na uwislamu ni kuvumiliana na kufundishwa kuamini uzuri na ubaya wa jambo linalotendwa na imani nyingine. Kwa hiyo, Uislamu mara nyingi huwafundisha wafuasi wake kuwa wasamehevu katika maisha ya dini nyingine, tabia ya kusamehe ya akili tukufu na ubinadamu na kuheshimu haki za wengine. Uislamu ndio dini pekee inayo amini katika mazungumzo.
Hebu toa mifano halisi kisha na sisi tutoe ili tupate picha kamili.Sio kweli,wakristo ndio wanaongoza kuzuia,hata adhana tu hawataki kuisikia
zile kengere mnazopiga makanisani huwa hamjui muda wa ibada?Imani yako isiwe kero kwa wengine,mda wa ibada unafahamika kwann lazima ujulishwe,Lakini awajazuiwa kufanya ibada au misikiti kubomelewa.
Hazijawahi lalamikiwa maana hazina madharazile kengere mnazopiga makanisani huwa hamjui muda wa ibada?